Hadithi: Wakili wa moyo

Toa Episode 3-4 na kwa muda unaoeleweka na wasomaji.
 
@mziwambwa Muda Ndo huu..., au ratiba imebadilika.....?
 
mizambwa unanikera yaan kiduchu ivo!!!!!!!!????????????
 
Last edited by a moderator:
mizambwa[/MENTION]

Hatuchezi na wewe tena ... wewe unajificha na hadithi zako.
 
ayayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa njoo bana uendeleze daaaaaa
 
Mizambwa,Mizambwa,Mizambwa...kama moyo wa Cesy utesekavyo,ndivyo watutesa fans wako..
 
Kwakweli Mizambwa we kiboko unavyo bembelezwa hivyo uweke hadithi unatuchunia?
 
Aaahh mambo gan unatufanyia mizambwe? Bora usingetupa nwanzo, tumeonja utamu na tunataka zaidi hebu endelea Mzazi tafadhali bana
 
Na huu ndio mwisho wa hadithi yetu. Mengine tunawaachia mmalizie wenyewe. Asanteni kwa kupoteza muda wenu. Kwaherini hadi wakati mwingine
 
We bucho tutakuchangamkia kama mpira wa kona
Mwache mizambwa aje atueleleze mwenyewe au kaishiwa bundle huwezi jua bana tusimhukumu
 
Last edited by a moderator:
We bucho tutakuchangamkia kama mpira wa kona
Mwache mizambwa aje atueleleze mwenyewe au kaishiwa bundle huwezi jua bana tusimhukumu

Mkuu tumesubiri hadi miguu imeingia tumboni. Hakuna dalili ya kuendelea hapa. Imebidi tu nitoe tamko watu waendelee na ujenzi wa taifa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tumesubiri hadi miguu imeingia tumboni. Hakuna dalili ya kuendelea hapa. Imebidi tu nitoe tamko watu waendelee na ujenzi wa taifa
bucho tumeachwa solemba bana tumesubiri kama mtoto anavyosubiri pipi aise na mizambwa haonekani kutokea bana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…