nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
- Thread starter
- #61
Tunatuma kwa busArusha nakipata vipi?
Tunatuma kwa busArusha nakipata vipi?
Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi?
Mwandishi ni nani?
Mwandishi ni nani?Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi?
Mwandishi ni nani?
Samahani. Unaweza kwenda ofisi za mkuki na nyota ingawa sina hakika.Nilikisoma zamani sana nikiwa shule ya msingi, google inaniambia Frolika Liyumit, Mashaka publications, 1989.
Kwa mara ya kwanza kusikia CIA, FBI, NIS, Visiwa vya Roben, kwa ufupi nilikipenda sana!
Aisee!?? Hakika Ben Ntobwa alikuwa ni Hazina Ya Utunzi katika Nchi Hii... Pumzikeni kwa Amani wewe na mzee mwenzio Elvis Musiba


