Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Nameless ungejua kilichopo moyoni mwangu nadhani usingeleta pozi hizi...
Hahahaha pole mkuu......bora kisiwe kibaya

Nameless ungejua kilichopo moyoni mwangu nadhani usingeleta pozi hizi...

Hahahahaaa kikiwa kibaya ndo vema Kwani kinamfanya azeeke ivo anakua hana michepuko...Hahahaha pole mkuu......bora kisiwe kibaya![]()
ipo siku nitaitisha maandamano ya wasomaji wa Riwaya za mkwe wangu Ben Mtobwa Harafu Uone kama hatujakuchukua na kukupeleka PololoYani nikikuona uko furious mie moyo wangu mweupeeeeeeeeeeeee....
Hahahahaaa kikiwa kibaya ndo vema Kwani kinamfanya azeeke ivo anakua hana michepuko...
mkuu hata miye nampigia simpati sijui ndio kaenda kwa mwenzangu?hahahahahah atapata BP, TPC ndio kwa heri muhurumie mwana wa mwenzako.......haya mbona hupatikani kwa simu
Pole mwaya hujatimiza majukumu yako.....ukimpata unishtue rafikimkuu hata miye nampigia simpati sijui ndio kaenda kwa mwenzangu?
Hahahaa mbona hujajihisi kuwa Shangwe au Shubiri?Nimeipenda najihisi kama mm ni kiango, mweeh mwandishi ameuteka moyo wangu
Watarudi na roho zao kweli?