Hadithi: Gamboshi

Hadithi: Gamboshi

Ukimaliza kusoma naomba like na maoni yako tafadhari[emoji4][emoji120]
 
Mda mwingine nakosa bando jamani [emoji23][emoji23]
 
Hapo kweli nimezingua [emoji23]
Pengine ulipozingua ni hapo kwenye sentesi ya kwanza kabisa, umeandika "Ilikua Alfajiri Saa Kumi na Mbili na Robo halafu kwenye mabano umeandika [12:45 - Saa Moja Kasoro Robo au Saa Kumi Na Mbili Na Dakika Arobaini Na Tano].
 
Nimekuelewa ilikuwa afariji ya saa moja kasoro robo [ 6: 45am] hivi ndo inatakiwa kuwa
 
Sehemu ya sita itakuepo mda wowote kuanzia sasa
 
Back
Top Bottom