Hadi zianze kuvuja na video ndo tufute viti maalum bungeni?

Chama cha maibilisi , ukizoea kura nyama ya mtu hautaacha by baba wa taifa J K Nyerere yaani ccm sio kupora tu uchaguzi , kuiba kura mi mpaka kupora na kuiba waume za watu hadharani .
Screenshot_20210528-021813.png
Screenshot_20210528-020529.png
 
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...

Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..

Wakati wa kuvifuta kabisa hivi viti maalum umeshapita ..
Vilikuja Kwa makosa...
Ilipaswa iwe wanapigiwa kura kila jimbo na wananchi na hata huyo mbunge akija kuleta scandal angalau unaweza walaumu walio mchagua na sio sasa ..Vyama vinapeleka 'vidosho Mali ya vigogo wa wa vyama'..au wale ambao 'wanampa kila mtu' Hadi wanafika huko...

Au tunasubiri video za ngono sasa zianze Ku leak ndo tujue 'tumeshachafua'kiasi gani hilo Bunge?..

Wabunge wa viti maalum hata kama wapo wachache wanafaa lakini kiukweli wengi wao ni wale wale... inatosha..
Vuti maalum bado vinahitajia hasa kwa nchui yenye mfumo dume uliokubuhu kama Tanzania. Ila taratibu za kupata wabunge wa viti maalumu inabidi ziboreshwe sana. Taratibu hizo ndizo zinazosababisha hisia zako. Mtu kama Catherine Magige huenda siyo wa aina ya viti maalumu. Nimetaja jina hilo kwa vile alijiingiza kwenye headlines majuzi., lakini wapo wengine kadhaa wa aina yake hana sifa za kuwa viti maalum.
 
Back
Top Bottom