Hatimaye nimefanikiwa kui install OSX snow leopard 10.5.7 na 10.6.3 kwenye pc ya kawaida. niliamua kuchagua hizo version ingawa si latest sana kwasababu pc niliyojaribia ilikuwa na specification ndogo ni hp dc7600 SFF pentium 4 processor speed 3.0ghz Ram 4GB DDR2 HDD 250GB. Ilipiga mzigo fresh ingawa baadhi ya drivers zina kasumbwi hyo ni kwenye 10.5.7.
ktk version 10.6.3 drivers nyingi zilifanya kazi kuanzia audio,bluetooth,wifi,vga,ethernet n.k
Niliipenda user interface yake ni rahisi sana kutumia ipo verry simple na fast (just imagine kwenye p4) na pia apps zote basic kama chrome, firefox, vlc na nyengine nyingi zinapatikana.
Changamoto:
Unaweza fanya hata 10 attempt ku install ndo ikakubali kama huku chagua patches sahihi wakati wa installation.
hackintosh releases nilizotumia kujaribu:
Ideneb v1.5
IAtkos S3
Zote hizi zinapatikana kwenye torrents na kwa anayetaka kujaribu google itakusaidia kwa procedures zote.
Jaribio linalofuata ni kuinstall latest releases kwenye core i3 pc (desktop).
Mwenye swali, au kuongezea unachokijua ruksa.
Akhsanteni.
View attachment 120223