h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,545
- 3,367
- Thread starter
- #41
Habari JF wana tech, leo nawaletea updates za hackintosh (mackintosh operating system kwenye non apple computer au pc zetu za kawaida hp,dell,etc....).
Nilianzia mbali ila kwa sasa nimefika sehemu nzuri kwa ufupi system inafanya poa, kwa sasa natumia mac osx kama primary OS ingawa nimefanya dual booting ya mac na windows 7.
specification za system kwa sasa:
CPU hp compaq dc 5800
processor : core2duo 2.8ghz (nita upgrade kwenda quad core)
RAM : 5GB
HDD : 750GB
GPU : ATI radeon HD 5450 1GB
vinginevyo:
D-link 125 USB wireless adapter
microsoft HD 3000 webcam
Philips 19vl 18.5 inch LED monitor
Vyote hivyo vimeniwezesha kukamilisha hackintosh system kwa bei nafuu zaidi, kwa hyo wale wenye uhitaji wa apple system ila wanashindwana na bei hii ndo solution maana inafahamika bei za imac dukani ni $2000 na zaidi. kumbuka system hii inafanya yale yote ambayo ungehitaji kufanya kwenye imac au mac pro ie graphics design, photo editing, video editing, Animation etc vyote hivi vinafanyika.
hizi snaps za mashine yangu.::
Adobe photoshop cs6
Adobe premire cc
Adobe bridge
Installed apps
apps
multi desktop (more than 1 working space)
Movie playing
System setting
Folders
Chrome
JF for life
thx