Hackintosh OSX ndani ya PC

Hackintosh OSX ndani ya PC

shukran sana mkuu, yani maelezo yako self explanatory nimeelewa sasa najua kila element ninayohitaji kuwa nayo before any instalation, shukran sana, na pia hackintosh inaruhusu kwenda kwenye appstore ya mac bila vikwazo vyovyote au store itakuwa hainitambui kaka??

Screen Shot 2014-04-01 at 4.34.18 PM.png
 
let me return back to the game, i missed this for a while....
 
Kaka, nimedownload iso ya iatkos S3 nikaiburn kama ulivyomuelekeza mtu hapo juu. Je, kuna mambo mengine muhimu ya kufanya baada ya kuburn, nimeshafanya settings kwenye bios. Nina empty hard disk kwa ajili ya installation. Maana nilisoma kwenye site moja kuwa kuna mambo ya bootloader. Mpaka nimechanganyikiwa.
Natanguliza shukrani.
 
Ainisha specs za computer yako..
 
Ainisha specs za computer yako..

Nina Dell Optiplex 745 Desktop, ndiyo nimeamua kuitumia.
Ina 3GB RAM, 2.2GHZ Core2Duo processor.
Nimeandaa empty 250GB HDD.
Nimeandaa 1 DVD ambayo ndiyo in iatkos S3 na 1CD yenye iBoot. kwa ajili ya kuinitialize Installatio.
Halafu ndugu Zote nimeburn kwa kutumia TransMac kuwa inaread Mac language. Halafu ndugu h120 nakuomba unipe maelezo kidogo kuhusu kexts.
 
Last edited by a moderator:

Vizuri, ila kwa iAtkos s3 hauitaji iboot, kwasababu walishaweka bootloader kwenye hyo iatkos, unaweza ukajaribu utakapokwama utasema, wakati unaanza tumia verbose mode, simply andika -v itakusaidia endapo itakwama utajua inakwamia wapi. na kext ni driver packages, ni drivers za mac osx.
 
Nashukuru sana mkuu. Ninatakiwa ku-type hiyo -v kuingia verbose mode nikiwa installation screen, bootloader au section gani? Samahani kwa maswali mengi, lakini wewe ndiyo mtaalamu kwa upande huo.
Na hizo kernel extensions naweza kupata wapi full package? Na pia, after installation nitawezaje kudual boot na windows? au nitumie Third party software kwenye windows?
 
chameleon_480x300.jpg
Bootloader screen ya iatkos s3 inamwonekano kama huu una type hapo hapo na unachotype utakiona.

kernel extensions zipo loaded kwenye iatkos, kuhusu dual booting ni rahisi sana haiumizi kichwa sana malizana kwanza na hiyo ukifanikiwa kumaliza huko tutaenda kwenye dual boot.
 
View attachment 207487

Nashukuru sana ndugu, ngoja nifanye installation. Nitakupa feedback hivi karibuni..
 
Vizuri, ila kwa iAtkos s3 hauitaji iboot, kwasababu walishaweka bootloader kwenye hyo iatkos, unaweza ukajaribu utakapokwama utasema, wakati unaanza tumia verbose mode, simply andika -v itakusaidia endapo itakwama utajua inakwamia wapi. na kext ni driver packages, ni drivers za mac osx.

Nashukuru kwa guide yako, installation inamaliza. Lakini nikishapress restart, the pc hangs on boot logo. Naomba uniambie tatizo ni nini. Picha ya screen nimeiattach.

BVpMvvu.jpg
 
Kama imemaliza installation toa hiyo DVD, kuna boot flags za kurekebisha ili kufahamu.
Tumia -v inapowaka halafu note inapokwamia, i mean angalia command line ya mwisho kabisa.
Usishangae sana hizo ni vitu vya kawaida sana kwenye hackintosh, ni mara chache sana watu wanafanya first setup ikapiga kazi out of box (namaanisha bila ku hasle). ila itakaa poa usijali. kama utaweza capture screen then upload tuone inapokwamia. ila hakikisha ipo kwenye verbose mode (-v).
 
Nilifanya re-installation baada ya kumaliza vizuri nikaondoa DVD nikaingia verbose mode, inakuja kukwamia kwenye mstari unaoandika
" setDesc change description Microphone (CD)
channel 1 assoc 1.
Still waiting for root device"
Siijui kwa nini inatokea hivyo lakini nimeconfigure bios kama maelekezo yalivyotolewa.
 
tatizo la hii hackintosh ni optimization yake na some softwares...
Mfano kwenye mashine yangu

Intel i7 4790K
GSkills RAM 8GB
NVIDIA GTX970
SSD 256GB na HDD 1TB

na specs zote hizo nikirun game kama Crysis 3 kwenye ultra frames-per-second zinashuka kama 20 compared to windows... Hawa jamaa hawaja optimize kabisa drivers za processor na GPU..

Labda some native softwares kama za productivity ndo mtu anaweza chomoka, ila kwingine kote mziki tu....
 
Nilifanya re-installation baada ya kumaliza vizuri nikaondoa DVD nikaingia verbose mode, inakuja kukwamia kwenye mstari unaoandika
" setDesc change description Microphone (CD)
channel 1 assoc 1.
Still waiting for root device"
Siijui kwa nini inatokea hivyo lakini nimeconfigure bios kama maelekezo yalivyotolewa.

Sawa hamna shida andika hizi flags ziambatanishe na -v

USBBusFix=Yes
EHCIacquire=Yes
UHCI reset=Yes
USB Legacy=Yes
-f
ahcidisk=8
npci=0x3000
npci=0x2000

andika moja moja na -v mfano. -v USBBusFix=Yes, letters andika kama zilivyo jaribu flags zote nilizo mention.
 
Nimefurahi sana kufanikiwa kuinstall iatkos S3/OSX 10.6.3 Snow Leopard.
Nikushukuru kwa mwongozo wako. Nimetumia hizo command halafu nikafanya recheck ya BIOS, Nikagundua kuwa S.M.A.R.T. ilikiwa OFF na hiyo setdesc error ilitokana na wrong audio driver (Kwa case yangu nilichagua voodoo ndiyo ikaleta error. Baada ya BIOS setup nilifanya reinstallation ya iatkos. Nilipofika kwenye drivers nikaacha nikachagua tu Sata ACHI. Installation ikamalizika vizuri. Kwa sasa pc iko poa. Nashukuru kwa msaada wako lakini naona hapa graphics accelerator imekosekana. Yaani maandishi yamefifia.
 
Hongera, kwa kutokata tamaa, kuhusu graphic accelerator nilijua tangu mwanzo itakuja zingua ila sikutaka kukwambia ningekuwa na kuvunja moyo kuendelea, kwa case ya optlex 745 kama yako integrated graphic chipset yake nadhani ni Gma3100 kama sikosei haiko supported na distro zote kwa hyo huwezi experience full graphic acceleration, unachoweza kufanya ni ku upgrade graphics card, ukiweza hapo utakua umemaliza, binafsi nilikumbana na hyo shida mwanzoni ila nikaja funga graphic card, ya ATI HD 5450 hadi leo hii nimeshaweka distro zote bila shida, hadi hii yosemite walio release inapiga mzigo. Ila cha msingi umepata concept unaweza tafuta hata powerful pc ukaipiga hizo osx.
 
Mkuu naomba niulize....
Hivi hizo iOS nazidownload?naweza kuzipata wapi ili nidownload,je nahitaji kuwa software yeyote ili niweze kudownload?

Baada ya kudownload natakiwa kuwa na nini eg software n.k ili niweze kuinstall hiyo iOS kwa computer yangu?

Mimi nina iMac ambayo imepigwa window 8 sound driver zikamiss but ikiziangalia kwenye manage unaona papo poa....Sasa naona nirudi kwenye iOS.Naombeni msaada.
 
Hongera, kwa kutokata tamaa, kuhusu graphic accelerator nilijua tangu mwanzo itakuja zingua ila sikutaka kukwambia ningekuwa na kuvunja moyo kuendelea, kwa case ya optlex 745 kama yako integrated graphic chipset yake nadhani ni Gma3100 kama sikosei haiko supported na distro zote kwa hyo huwezi experience full graphic acceleration, unachoweza kufanya ni ku upgrade graphics card, ukiweza hapo utakua umemaliza, binafsi nilikumbana na hyo shida mwanzoni ila nikaja funga graphic card, ya ATI HD 5450 hadi leo hii nimeshaweka distro zote bila shida, hadi hii yosemite walio release inapiga mzigo. Ila cha msingi umepata concept unaweza tafuta hata powerful pc ukaipiga hizo osx.

Shukrani sana kaka. Nimekusoma kabisa, nashukuru kwa ushauri wako. Ni kweli kabisa kwamba hiyo graphics card ni GMA300. Nitafanya mpango wa upgrade. Heshima kwa wote mlionisaidia, hasa h120
 
Last edited by a moderator:
Hii post nimeikubali asee.. Na mm ntafanya hivi. Kwa ajili tu ya kutumia tools za graphics design. Safi sana alopost
 
Back
Top Bottom