hao UDSM ndo hawana habari kabisa bora Open University of Tanzania wameiweka Off tovuti yao baada ya ku hackiwa na mtu ambae nafikiri ni yule yule!
Na mimi naomba kumuunga mkono alosema kwa "uhandishi tu wa mdukuzi huyu,hadhani kama anaweza ajiriwa sehemu yoyote"
Kama anao uwezo asingekua na hizo fikra za kuajiriwa kiasi cha kuweza kuzi display mpaka pale alipo Dukua!