Vijana waliohukumiwa wote niwale wanaotokea Mbeya, Mbozi na Kibaha. Wakati Vijana wa Kilimanjaro wameachwa kwa madai wao wametoa ushirikiano.
Waliohukumiwa ni:
_Mtela Mwampamba-Mbozi, Mbeya
_Habib Mchange-Kibaha, Pwani
-Juliana Shonza-Mbozi, Mbeya
-Joseph Kasambala Mbeya mjini (kasimamishwa)
- GWAKISA Mwakasendo Rungwe, Mbeya (kasimamishwa)
Pamoja na wanachama watatu waliopo Mbeya mjini waliofukuzwa uanachama.
Waliosamehewa ni:
_Ben saanane-Kilimanjaro
_Exaud Mamuya-Kilimanjaro.
Hii ni dhamira ya wazi kabisa kwamba CHADEMA sasa ni chama cha kikanda, Viongozi wa CHADEMA wanatumika kutangaza ukanda kwa watanzania.
Kwa maana hiyo wale wote wasio wa kaskazini ndani ya Chadema tusitegemee kutendewa haki.
source; juliana shonza