Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mwita Maranya! Bila shaka atasema ni makao makuu ndio wana husika kumchongea!

Na hiyo simu itakuwa haizidi elfu sabini za uganda!
Pole Mchange, sitashangaa akimtuhumu Heche kuwa ndiye kakuchongea polisi.
Mkuu Molemo hiyo simu aliikwiba kwa nani na ina thamani ya shilingi ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kesi za kubambikiana/kukomoana,ambazo zimehasisiwa na new CCM. Walio behind ya huu mchezo, tuwaogope kuliko Ukimwi
 
Kwa ajili ya simu tuu!!!! Ama kweli fisadi ni fisadi tuuu!!!
Ama kweli kunguru hafugikiiiii!!!!! Sweka ndani huyoooo!!!!


Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.
 
Duh hii habari nzito yaani nimejikuta tu nime-like hata bila kujua then ndo nikapatwa na hali ya ubinaadamu ngoja nimpelekee uji Kamanda
 
Haya anataka kupambana na tumaini la watanzania,mwisho wake lazima uwe mbaya"
 
Mambo ya mchezo mchafu wa siasa wanataka tu kumuondoa kwenye ramani ili awe mwanachama wa chama tawala itikadi za chama hizo mambo ya kufikirika kuwa ngoja tuone atakwenda wapi lkn mimi kwa uwezo wangu mdogo kasi ya upinzani inakwenda inapungua wamebaki kulana wao kwa wao
 
Yaani kalala lupango mpaka asubuhi au Zitto hakuwepo Dar na Mtela Mwampamba?,Juliana Shonza je?au ndo wanaanza kukimbiana hivyo?dhambi ya usaliti na matusi kwa wazee wako ni mbaya sana.Pole na matatizo lakini ndo dunia
 
--- he is so lucky guy..... WEZI WA SIMU HUWA WANAKUTWA MAJIVU TU..... in a minute kashachomwa moto...... Mungu anampenda bado....

Au alikuwa na wale MAJAMBAZI ya kigamboni nn yakikwapua simu na Laptop za IFM students usiku...??

MSISITIZO:
>> ANGEINGIA BUNGENI HUYU ANGEKUWA MBUNGE WA KWANZA KUWA NA UTAALAM WA KUWAIBIA SIMU WATU....!!! kwani mwizi haachi angeiba tu
 
kama kiogozi anafikia hatua ya kukwapua simu, sasa si anaweza kuwauza hata wananchi wake? CDM mnaona mbali jamaa asingewafaa. ntapita hapo kijitonyama ni njia ya kwenda nyumbani nimcheki.

mkuu huyu kiongozi wa nani?hajawahi kuwa kiongozi huyu dogo,au kiongozi wa masalia?
 
Hakuna aliye msafi.Mungu atunusuru na ubaguzi,udhalilishaji,ukandamizaji na kujikweza.Emen
 
Hatuwezi kutaka haki na usawa kama na sisi hatuishi kwenye misingi hiyo

Huyu Bwana ni mshtumiwa tu hadi pale mahakama itakapotoa hukumu kuhusu kosa lake hilo
 
Hajaiba wala nini ni chuki binafsi.labda kategeshewa na kununua simu ya wizi

Mkuu mtu tuliyetaka kumpa uongozi wa jimbo aende kununua simu ya wizi wakati unajua ni kosa na wewe unamtetea???kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
LOL..!! we kiboko
Kama hizi habari ni kweli basi CDM wamshukuru Mungu. Imagine asingefukuzwa halafu CDM wakachukua dola 2015 then akapewa kitengo cha kusimamia,kwa tabia hii ya kukwapua hadi simu(u-kibaka) may be ufisadi tunauona sasa tungeendelea kuushuhudia,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom