mwenezi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 506
- 108
Ni muda wake wa kujifunza sasa kuwa "Success has many fathers but failure is an orphan"
umeelewekamkuu ila fanyaa editing kuitendea haki lugha.
Ni muda wake wa kujifunza sasa kuwa "Success has many fathers but failure is an orphan"
umeelewekamkuu ila fanyaa editing kuitendea haki lugha.
Mkuu Molemo siamini sana taarifa hizi kwani Habib Mchange japo tumemfukuza Chama ila tulimuamini mpaka kumpa nafasi ya kugombea Ubunge hivyo viwango alivyokuwa amefikia ndani ya chama naamini sio mtu wa kuiba simu.
Nafikiri japo kuna tofauti ya kimtazamo UTU na THAMANI YA UTU tusiipoteze kwa sababu ya siasa
Vijana waliohukumiwa wote niwale wanaotokea Mbeya, Mbozi na Kibaha. Wakati Vijana wa Kilimanjaro wameachwa kwa madai wao wametoa ushirikiano.
Waliohukumiwa ni:
_Mtela Mwampamba-Mbozi, Mbeya
_Habib Mchange-Kibaha, Pwani
-Juliana Shonza-Mbozi, Mbeya
-Joseph Kasambala Mbeya mjini (kasimamishwa)
- GWAKISA Mwakasendo Rungwe, Mbeya (kasimamishwa)
Pamoja na wanachama watatu waliopo Mbeya mjini waliofukuzwa uanachama.
Waliosamehewa ni:
_Ben saanane-Kilimanjaro
_Exaud Mamuya-Kilimanjaro.
Hii ni dhamira ya wazi kabisa kwamba CHADEMA sasa ni chama cha kikanda, Viongozi wa CHADEMA wanatumika kutangaza ukanda kwa watanzania.
Kwa maana hiyo wale wote wasio wa kaskazini ndani ya Chadema tusitegemee kutendewa haki.
source; juliana shonza
Alivyokua CDM walimuona muhimu kwao na walikua wanamlipa kwa kazi waliyomtuma, leo kamwagika CCM hawataki hata kumsikia amekua kama cond..m! poor habib.......... umechoka mpk unaiba simu? ukitoka nenda temeke mtemvu kashawatafutia ajira uarabuni.......!
-Kuna aliyekua anatoa mapovu bungeni kutaka posho iongezwe ifikie laki 5 kwa siku na kuibatiza UJIRA WA MWIHA sasa kumbe povu lote lile ni ili aje adhamini uasi kupitia MASALIA GROUP
-Juzi amewapiga chenga hajatoa hela za press conference.Maskini huu ukwapuaji wa simu ni katika jitihada za kuziba ombwe ili wafanye Press conference kwa kuwa viongozi wao ni mabingwa wa kuwakana na kuwaachia soo wenyewe.
Tuungane kupinga vijana kutumika na wakati huo huo tuwawajibishe na kuwalaani vikali wale wanaotaka kutumia vijana vibaya kwa maslahi yao
Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
Wakati ccm na majangiri, mafisadi, watoa roho, watesaji, wakwale ni damu moja.
wewe ndio tatizo kubwa ndani ya chama. unatumika vibaya kijana
Vijana wa CCM hatutaki kuwaona kabisa hawa makahaba wakisiasa hawana nafac kabisa CCM hata ya Balozi wa Nyumba kumi ama ukuu wa Kaya. Kama Viongozi mafisadi watawapokea ama kuwaunga mkono hawa utakuwa ni upuuzi mwingine kwa CCM yangu hawa ni type ya le mutuz hawastahili kabisa kuwa CCM ya Nyerere