idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
mkuu sasa jamaa yako ameiba kweli au ni sinema ya kihindi.?Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
mkuu sasa jamaa yako ameiba kweli au ni sinema ya kihindi.?Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
Mchange atakuja kujibu hili,na this itakuwa too bad kwa chama cha Chadema maana naamini atasema ukweli,molemu ungekaa kimya tuDuh, afadhali mana mwisho wa hii picha ni watanzania kujua A-Z ya CDM, zimwi likujualo.... Sijui kama mtafika salama 2015.
Mchange atakuja kujibu hili,na this itakuwa too bad kwa chama cha Chadema maana naamini atasema ukweli,molemu ungekaa kimya tu
Wafadhili wake wamekoma kutoa mshiko kwa kuhofia kufatiliwa na mkono wa Ben Saanane akona isiwe tabu...aisee,,
hadi wizi wa simu tena??
Basi njaa imekuwa kali sana
mmmm..... someni vizuri hii movie ya kitoto!
Asubuhi -consultant wa CCM anaanzisha uzi wa kuhoji 'uadilifu' wa mwenyekiti wa BAVICHA, mchana Juliana Shonza anafanya mkutano na waandishi wa habari na kutuhumu uongozi wa juu wa BAVICHA NA CHADEMA kwa jumla, wakati huo huo mjumbe wa PM7 anakamatwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa simu! What a coincendence?
Kichekesho, mtuhumiwa wa wizi wa simu anakosa dhamana! Hivi ni kweli dhamana ya wizi wa simu ni ngumu kiasi hicho au kuna mchezo umeandaliwa ili kupata 'maxumum' symphathy toka kwa umma kuwa PM7 'wanaonewa? maccm bana!
Acha ujinga wa kufikiri usiwe kama kambare bichwa kubwa lakini hana akili huyo babu slaa ni tegemeo la kanisa sio watanzania ana kashifa kibao kama kutembea na mke wa mtu,kutelekeza watoto wake,pesa za mradi wa maji karatu na mengi mengineo za kujikopesha pesa za chama bila kulipa usimtukuze mtu kiasi hicho kama malaikaMiaka hii Mungu hakawizi hukumu, huwezi tukana mtu tegemeo la watanzania km DR. Slaa halafu ubaki salama.