Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
hii ni kweli mkuu au ndo kukandiana kunaendelea? but just questioning
 
Aliyeleta habari ajitahidi kufafanua huo wizi wa cm? Ilikuwaje na kivip! Tueleze,na mnaochangia bila kuhoji mmekurupuka
 
ha ha ha inawezekana pia ni simu ya mchina ndio aliiba
 
Miaka hii Mungu hakawizi hukumu, huwezi tukana mtu tegemeo la watanzania km DR. Slaa halafu ubaki salama.
 
Zitto hawezi kwenda kumuwekea dhamana kwa upuuzi kama huu, kwa nafasi ambayo alikuwa ameifikia kwenye jamii yetu kitendo cha kwenda kukwiba simu kunampa zitto haki zote za kujiepusha nae.
 
Aliyeleta habari ajitahidi kufafanua huo wizi wa cm? Ilikuwaje na kivip! Tueleze,na mnaochangia bila kuhoji mmekurupuka

Breaking news, also known as a special report or news bulletin, is a current event
that broadcasters feel warrants the interruption of scheduled
programming and/or current news in order to report its details. Many
times, breaking news is used after the news network has already reported
on this story. When a story has not been reported on previously, the
graphic and phrase Just In is sometimes used instead. Its use is
often loosely assigned to the most significant story of the moment or a
story that is being covered live. It could be a story that is simply of
wide interest to viewers and has little impact otherwise

Source: Wikipedia
 
Wamuache huko msaliti mkubwa.eti shonza anasema bado nimwanachama wa chadema na vyeo vyake viko palepale
 
Sasa magamba wameona hawana tena maslahi nae so wanaanza kumshughulikia wapate hapo mrejesho kidogo wa zile walizo mpatia kuivuruga CHADEMA
 
Matunguli mwenye uwezo wa kumaliza mpaka panya anashindwa kuutoa msukule wake nyuma ya nondo?hima mr Matunguli,piga OCD,RPC,IGP kipapai
 
mmmm..... someni vizuri hii movie ya kitoto!

Asubuhi -consultant wa CCM anaanzisha uzi wa kuhoji 'uadilifu' wa mwenyekiti wa BAVICHA, mchana Juliana Shonza anafanya mkutano na waandishi wa habari na kutuhumu uongozi wa juu wa BAVICHA NA CHADEMA kwa jumla, wakati huo huo mjumbe wa PM7 anakamatwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa simu! What a coincendence?

Kichekesho, mtuhumiwa wa wizi wa simu anakosa dhamana! Hivi ni kweli dhamana ya wizi wa simu ni ngumu kiasi hicho au kuna mchezo umeandaliwa ili kupata 'maxumum' symphathy toka kwa umma kuwa PM7 'wanaonewa? maccm bana!
 
wewe molemu utakuwa umemtegeshea,mna roho mbaya sana nyie,RIP Chacha Wangwe
 
Mods mpo kweli .... pigie ban Molemo, kama huweki picha hizi ni tuhuma tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom