habarii

habarii

Karibu sana mpendwa..... Miss u big!!!!!!!!!!! :crying: :crying:
 
Karibu tena bi'dada, ulikua umefichwa na nani? Aliekufaidi kwa kitambo chote hiki .
 
duh ulifuata mizigo dubai,welcome back
 
Ha ha haaa! Jamani Madame B mume wangu watu8 kauliza ili na sie tuwe tunawajoin huko....akiwa na wewe shemeji yake mie sina wasi wasi kabisaaaa

Afu kumbuka huu ushemeji wake na mimi hauna mipaka.
Ndo mana nikabold hapo.
Hahaha!
 
Last edited by a moderator:
swit luv usisikilize maneno ya wifi yako eenh....anakupa presha tu za bureee!!!
wajua ninavyokupenda na wajua jinsi moyo wangu ulivyo karibu yako...


Uuuuwi............. taratibu dear.......
 
Back
Top Bottom