Habari zenu wakuu

Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana, jisikie nyumbani. Lakini bahati mbaya umeingilia dirishani. Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko. Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya wageni kuingia.
 
Back
Top Bottom