Habari zenu ndugu zangu

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,351
204
Baada ya kuwa kimya mda mrefu na pilika za maisha japo tulikuwa pamoja kwa namna moja ama nyingine naomba niwape pole kwa ndugu zangu wote walio kutana na wakati mgumu mpaka kufikia kukata tamaa na kwa wale walio fanikisha matarajio yao pia nawapa hongera.NDUGU ZANGU NIMERUDI NA TUKO PAMOJA.
 
Karibu nyumbani chapaa, west or east, north nor south...HOME IS BEST.. Umeleta chapaa? Halafu kwa kuweka kumbukumbu zangu kwenye rekodi wewe ni ME au KE?
 
Last edited by a moderator:
Karibu nyumbani chapaa, west or east, north nor south...HOME IS BEST.. Umeleta chapaa? Halafu kwa kuweka kumbukumbu zangu kwenye rekodi wewe ni ME au KE?

chapaa kama kawaidakwan ndevu huzioni ME bana
 
Last edited by a moderator:
haaaah!!!!!
Unalo. . . . .

Yaani Kipipi , kwanza ulinikata malaika wa uso!
Leo unanizodoa ujue ?
Sasa mie si'deal na wewe kwanza, na'deal na anaekutuma!
Na ole wako nigundue unaagizwa !
Namkwamanisha mtu !
Ohooo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom