Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Mbona nilishalitolea utabiri hili jambo mkuuDogoli kinyamkela eti kweli?
Kmmk wewe na mama yako wa kizimkaziKuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
achiliwi mtuKuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
kMwenzio hataki kuachiwa wala huruma.
Anataka kama kesi ya kweli ipo ashinde kiuhalali.
Lissu sio mbowe na hao wajinga wajinga..........
Ni mtu wa haki kweli kweli.
Maneno uliyotumia ni ya kipuuzi; kwa hiyo mada yote inakuwa ni ya kipuuzi.Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Kwa vile wewe ni mtoto wa Shule nikuchukulie kama chekechekea anayetawazwa kinyesi, huna hatia kwa haya uropokayo.Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
Mzazi tena au hata ushahidi hakuna? Hapo nikuacha Ego kukubali makosa nakuomba radhiKuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
Hakuna mtu anataka aachiwe, ila aibu wanayokutana nayo hao vilaza wa serekali ni hatari. Tena ilitakiwa huyu shahidi wa sasa adhibitishe utambulisho wake, hapo ndio ingekuwa aibu ya Karne. Nilisema toka juzi, kuwa Lisu aliwashinda hao vilaza wa jamuhuri kwenye mahakama kuu toka mwaka jana, wakaenda kuipack kesi mahakama ya rufaa, na huko kawalambisha mchanga.Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.
Mzazi wa nyokwe..sema kapelekewa motoMama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni
Nini kinachofanya nyani wasiendelee kuwa binadamu sasa? Unakuja na historia zako za kiduwanzi? Kama umeishiwa hoja piga kimya dogo.Binadamu WOTE walikuwa NYANI.
Wabobezi na wabobevu wa falsafa, sosholojia, na saikolojia wa TEC wamemuelewesha kuhusu mambo yajayo ndani na nje ya chama chake.Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU
Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni .....
Tuendelee kuvuta subira
mikwara yenu bana.Wabobezi na wabobevu wa falsafa, sosholojia, na saikolojia wa TEC wamemuelewesha kuhusu mambo yajayo ndani na nje ya chama chake.
Hatma yake ipo mikononi mwake mwenyewe. Madaraka aliyonayo ni kama vazi la kuazima, muda ukifika halitaweza kumsitiri tena. Kesho yake hauijui bali aibu, fedheha, na kumbukumbu za mabaya yake zitamwandama daima.
Chekechea haswa ninayetoa maoni JF na wewe ukachangia! Ahahahahaha!!Kwa vile wewe ni mtoto wa Shule nikuchukulie kama chekechekea anayetawazwa kinyesi, huna hatia kwa haya uropokayo.
Ila ukiwa mkubwa utayachukia uliyoropoka.
Hakuna siku nitafurahi kama siku anatiwa hatiani kwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa! Kwani sasa hivi mshasema? Mtasema sana baada ya hapo!Hakuna mtu anataka aachiwe, ila aibu wanayokutana nayo hao vilaza wa serekali ni hatari. Tena ilitakiwa huyu shahidi wa sasa adhibitishe utambulisho wake, hapo ndio ingekuwa aibu ya Karne. Nilisema toka juzi, kuwa Lisu aliwashinda hao vilaza wa jamuhuri kwenye mahakama kuu toka mwaka jana, wakaenda kuipack kesi mahakama ya rufaa, na huko kawalambisha mchanga.
Wamerudi mahakama kuu wakitegemea kuchomekea ushahidi uchwara kama watafanikiwa. Lakini ndio imezidi kuwa mbaya maana huyu shahidi ndio wangalau walitegemea anaweza kujibu sunami. Lakini sasa imekuwa aibu zaidi. Na kesho sitegemei wawe na shahidi wa maana zaidi ya blabla na kulazimisha maridhiano uchwara. Na cdm wasikubali kabisa maridhiano ya hadaa bila uwajibikaji. Kesi iende hadi mwisho tuone nani zaidi.
Swali la kitoto. It shows intellectual myopic!Nini kinachofanya nyani wasiendelee kuwa binadamu sasa? Unakuja na historia zako za kiduwanzi? Kama umeishiwa hoja piga kimya dogo.
Anyongwe kwa maelekezo ya kahaba?Mnaanzisha hoja wenyewe halafu mnapinga wenyewe. Kifupi, GAIDI hadi anyongwe! Hayo ya kuachiwa oteni ndotoni.