Mtanzania,
Mkuu wangu kulingana na habari hiyo, mwenye Guest na hao waliowaliwiti watoto wa shule ya msingi wote wana makosa!..
Mkandara,
Mwenye guest atakuwa na makosa yapi? Ninaweza kukubali kwamba wafanyakazi walioruhusu hao wanafunzi waingia hapo ndani wana makosa, lakini sio mmiliki. Mimi leo Mtanzania niwe na nyumba yangu ya kulala wageni Kyela, kosa litendeke pale mimi niko mbali, utasema nina makosa? How?
Hizo nyumba zenyewe ni zile sijui hata uziitaje yaani control hakuna. Kama nchi yetu inafuata sheria nyumba kama hizo ni kufunga kabisa. Ziko nyingi kweli Kyela mjini, ni takataka tu. Kwasababu ya biashara ya Malawi basi hata nyumba za hovyo zinapata wateja.
Case yenyewe siijui vizuri kwahiyo siwezi ku comment zaidi lakini nijuavyo hao vijana walikamatwa na kuchukuliwa hatua.