Ingependeza kutoa sababu za kufunga bandiko hili.. "kusema funga tu" haitoshi. Toa sababu a, b, c, n.k then wajumbe watajadili sababu zako na iwapo zitakuwa za msingi hapana shaka bandiko litafungwa..Fungeni hii topic,muda tunaotumia hapa ni wa thamani sana,wakuu toeni
Imejulikana kuwa yu bhuheri wa afya!sasa kwa nini hii habari iendelee kujadiliwa?Kuna mtu yoyote ambaye ana taarifa sahihi husiana na hali ya kiafya ya Mh. Mwakyembe maana mtaani kuna habari tata mno.
Naomba tushirikiane.
Jina na huyo "mchawi" ni nani?
Ni Ujinga wa hali ya Juu viongozi wa nchi kuamini kuna uchawi wa kufanya kazi kipindi hiki 21st century. Si wangefanya huo uchawi utoe UMEME wa bure vijijini na majimboni na pia nyumba zijengeke na mabarabara
Tuache huu Ujinga uliokithiri kwenye mawazo ya Jamii zetu. Kuna mengi ya maana ya kufanya tena extremely challenging and rewarding too.
Nimecheka sana. Kwa kweli tumezidi kwa ushakupuna na ushambenga duh!
Naona msomi wa Harvad aliishiwa mbinu! Labda tumuulize Sumaye kama huwa pia wanafundishwa somo kama hilo! Kweli haya ni maajabu na kweli!!
kafara said:Aidha nilitumaini kwamba baada ya taarifa hizi hizi kupatikana ukumbi wa
bunge ungefungwa na wale jamaa wanaovaa nguo nyeupe zinazokinga mwili mzima au wanaofanana nao wangeingia kazini kabla ya kuruhusu ukumbi huo kutumika tena. lakini naona hata wahusika wa juu kabisa nao wamejikita
kwenye imani uwezekano wa matumizi ya utaalamu wa jadi.QUOTE]
Hao wanaoingia na hizo protective gears...wanafanya hivyo kwa kuwa wako scientific minded. Na kama kweli bunge zima lingekuwa haliamini uchawi katika hali ya kutia aibu na kujidhalilisha..lazima hao toxicologist/chemist etc..wangeshaitwa. Ofisi ya mkemea mkuu ingeshatinga hapo.
But the question is why not?
Kwa sababu mentality za tasisi yote ya bunge na washiriki wao..moja kwa moja imelenga kuwa tukio hilo is not scientific ni zimzinga wa vodoos!
Na hakuna shaka hao ndio viongozi wetu. Totaly primitive kama ..the oldest reptilia...on the deep ocean.
Hao ndio viongozi wetu..How dare.... wataweza kukemea ..mapigo yanayowapata Albino, wazee wenye macho mekundu, wachuna ngozi au wafanya biashara za vioungo vya watu?
Hata Muungwana nae alianguka au mmesahau ?Hivi Dk nae kaanguka kama wakati ule alivyoanguka Mh. Sagaf????
Yaonyesha mafisadi walianzia zamani!!!!