Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 872
Ungana TL kwa pamoja muwe MAWAKILI KUFUNGUA KESI KUTETEA ACACCIA,tena fanyeni haraka kabla hao uliowataja hawajafikishwa mbele ya mkono Wa sheria!
Ungana TL kwa pamoja muwe MAWAKILI KUFUNGUA KESI KUTETEA ACACCIA,tena fanyeni haraka kabla hao uliowataja hawajafikishwa mbele ya mkono Wa sheria!
Soma vizuri amesema jk alikuwa waziri wa nje na ushirikiano wa kimataifa.Jk alikuwa waziri wa nishati na madini mwaka 1997-2000?????
Kweli??????
Kweli??????
Kwelii?????
HahahaWatakuuliza kwa nini unatabiri kushindwa kabla ya kesi? Lakini ni wao hao hao ukiwaambia Mbao United ya Mwanza itacheza na Real Madrid ya Hispania hawachelewi kusema kwamba mbao itachezea kichapo cha mbwa mwizi!
Dunia ya wajinga waache waishi wenyewe!