Habari njema mahakamani kwa Karamagi, Muhongo, Ngeleja na Yona ni Magufuli na Ndugai

Kesi itakuwa kama ya yule balozi wa Italia
"Mshitakiwa aliyekuagiza kufanya hivyo ni nani"
Ni boss wangu
Boss wako yupi?
Ní rais mstaafu wa awamu ya tatu.
Kweli mheshimiwa (rais) ulifanya hivyo?
Ndio
.
.
.
.
Kesi imeisha!
 
Wapelekwe tu Mahakamani hata kama wakitoka lakini watakuwa Wamenyooka na Kuwa Stressed kwa kitendo cha kufikishwa kwa Pilato. Vyombo vya Habari vitapata habari. Ule usumbufu tu wa mahakama zetu za Kibongo ni mojawapo ya adhabu kwa Watu wenye majina makubwa kama hao.
Mnataka kupandia migongo yao midhaifu 2020?
 
KUTAKA KIKWETE NA MKAPA WASHTAKIWE. ,

NI KUVUNJA KATIBA

MAANA KATIBA IPO WAZI KABISA KUHUSU WAKUU WA NCHI WAATAAFU

HIVO BASI ,JE CHADEMA MPO TAYARI TUVUNJE KATIBA?

MAANA NINYI MNADAI NI WATIIFU WA KATIBA,

NDIO MAANA WATU WANAWAHAMA KILA SIKU

HAMUELEWEKI AJENDA YENU NI IPI

SASA HIVI MMESHAMDANDIA JK NA BWM

JPM ANAZIDI KUWACHEZESHA NGOMA AITAKAYO YEYE,

2020 ANAPITA TENA KIULAINI
Na wengi wameuchapa
 
umekosea, JK hakuwa waziri wa madini miaka ya 1997-2000 kama ulivyoweka hapo, bali alikuwa waziri wa mambo ya nje!! kuna faida yoyote mtu akipost kila Siku? nataka na mm nianze
Shukrani nimerekebisha. Pitia tena changia
 
Hakuna ugumu hapo jiongeze tu Tambua kuwa Kipindi hicho Amri zote zilitoka juu kwa mkapa na kikwete watuhumiwa wote walitekeleza Amri toka juu hakuna jinsi mkapa na kikwete wanakwepa jinai.
Kabisa haiwezekani Kamanda mkuu aliyetoa maagizo asepe na aliowatuma watiwe hatiani
 
Watakuuliza kwa nini unatabiri kushindwa kabla ya kesi? Lakini ni wao hao hao ukiwaambia Mbao United ya Mwanza itacheza na Real Madrid ya Hispania hawachelewi kusema kwamba mbao itachezea kichapo cha mbwa mwizi!

Dunia ya wajinga waache waishi wenyewe!
Hahahahahahaaaa
 
Kelele za nini si msubiri tu.. Mbona kesi ile ya Yona na Mramba mbona JK au MKAPA hawakuenda mahakamani
 
Mkuu siyo kila kitu unajua!!! Waachie na wengine wanaojua waongee..... wewe hujui kitu kwenye sheria wewe ongea siasa mkuu!!
Ni kweli kama utathibitisha hadi sasa ni matapishi sijui utalamba au kudeki lini
 
..at least Mkapa yeye ana kinga ya Raisi.

..lakini JK yeye tuhuma zake ni ktk majukumu yake alipokuwa Waziri.

..JK akiachwa na mawaziri wengine wakaburutwa mahakamani huo utakuwa ni uonevu.
Kinga inapaswa Bunge wamuondolee ili haki iweze kutendeka
 
Back
Top Bottom