Habari njema: " Bunge Live" limerudi!

Habari njema: " Bunge Live" limerudi!

Watu walikuwa hawaangalii bunge kwa sababu lilikuwa LIVE. Walikuwa wanaangalia kwa sababu kulikuwa na watu wanaowaongelea mambo yanayowahusu. Hili bunge ambalo halina tofauti na mkutano mkuu wa CCM wataangalia wenyewe
 
Haya maigizo sijui yataisha lini. Sasa hapo kuna Bunge ama jopo la wasifia mkulu. Yani hapo ni mwendo wa watu kulala na kupiga meza tu.
 
Haya fursa hii kwenu Lumumba, wapeni hao COVIDO KUMI NA TISA air-time bungeni ya kutosha ili wawakandie viongozi wao - hii pia ni njia nyingine ya kuwamaliza CDM - waambieni hoja yao iwe ni mfumo dume uliomo ndani ya chama hiki kinachowanyanyasa wanawake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom