Nani anaangalia mkutano wa ccm, labda wanaccm tena wa huko bush. Hakuna anayejitambua anaweza kuangalia hilo bunge kibogoyo. Hapo ndio mtajua watu hawalazimishwi kupenda.Hii ni habari njema hasa kwa vyama vya upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live...
CCM wana mambo ya utoto sana!!Gharama za kuwa live zimepungua, teh teh halinogi ng'oooo
Hamna bunge humo ndugu!!Ni mara mia 7 niangalie recorded lenye wapinzani wengi kuliko live la ndioooo
Kalio lakoBunge ama kikao cha CCM ??
Umeshayasahau maneno yako mwenyewe kwenye kuanzisha uzi huu!!!?? Hebu yasome upya.... "Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana" Eti sasa umekuja na "Channel ten ni ya watanzania wote!"Channel ten ni ya watanzania wote!
Kwani CCM siyo ya watanzania wote bwashee?!Umeshayasahau maneno yako mwenyewe kwenye kuanzisha uzi huu!!!?? Hebu yasome upya.... "Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana" Eti sasa umekuja na "Channel ten ni ya watanzania wote!"
Kweli maendeleo hayana vyama.
Yaani hapo kama umemtaliki mke na huna habari nae watajua wenyewe km watazika ama watasafirishaCCM wana mambo ya utoto sana!!
Bunge la CCM linaonyeshwa na tv ya CCM kwa maslahi ya CCM...
Serikali ya CCM?!!Sidhani kama hiyo tv wanailipa serikali
Nilijua bunge live litarudi kwa sababu waliosababisha lisiwe live washakuwa eliminated. Wanaamini hakuna tishio tena lakini bado kuna ku overlook. Pia ile supu tamu haipo na hivi wateja wamesusa!!!Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Acha maneno chafu chafu lete hoja.Kalio lako
Acha maneno chafu chafu lete hoja.
Kalio lako
Hata kodi za Halmashauri zimerudi Halamashaurini,hatulipi TRA tena.5tenaHii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!