Kwa wanamapambio sawa,sawa kabisa,ila wengine sijuiHii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi kuna watu wanaoliangalia Binge kea kipindi hiki!Bunge ama kikao cha CCM?
Nani atatizama bunge LA chama kimoja. Tazameni ninyi wanalumumba!Bunge la CCM linaonyeshwa na tv ya CCM kwa maslahi ya CCM...
Shida kubwa waliyonayo kwa sasa,waimba mapambio kama akili zimewarejea vile.Nani atatizama bunge LA chama kimoja. Tazameni ninyi wanalumumba!
Budget imeruhusu sio this time?Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Serikali ya JPM ni ya uwazi na ukweli.
Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Umesema bunge 😂😂😂 kumbe kuna bungeHii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Baraza la CCMHii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Sema kamati kuu ya CCM iko laivu.tz hamna bunge.Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!