Hawa akina Halima Mdee ni tofauti na wale akina Lijualikali!Haya fursa hii kwenu Lumumba, wapeni hao COVIDO KUMI NA TISA air-time bungeni ya kutosha ili wawakandie viongozi wao - hii pia ni njia nyingine ya kuwamaliza CDM - waambieni hoja yao iwe ni mfumo dume uliomo ndani ya chama hiki kinachowanyanyasa wanawake
Kuna mambo mazuri bwashee!Siangalii Channel Ten, TBC, na Star Tv, Tv za kijani
Channel ten ni ya watanzania wote!Chanel ya CCM.
TAIFA KAMA TAIFA KWA KWELI SAFARI NI NDEFU.
CCM haijawahi kuwa na uzuri wowote kwa mpenda haki, kwasababu CCM ni madhulumatiKuna mambo mazuri bwashee!
Ilikuwa ya Rostam Aziz akawapa zawadi CCM, acha kudanganya ummaChannel ten ni ya watanzania wote!
Hii ni habari njema hasa kwa vyama vya upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live....
Hapo hakuna bunge bali ni genge la kusifu na kuabudu mfalme JHii ni habari njema hasa kwa vyama vya upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Ndo maana akawaita watengeneza ndege na akiagiza ndege azitakazo bila kutumia sheria ya manunuzi?Serikali ya JPM ni ya uwazi na ukweli.