Habari mshangao

Mchungaji alikua wa kwanza kusepa hapo hata hakuacha ushahidi wa uwepo wake!
 
hahaaaaaaaa hapo huwa nacheka sana unakuta mtu alikuwa analia we baba wewe naomba urudi

japo dakika 5 tu,umetuacha wenyewe....na analia hasa.....

hii kitu itakapotokea yule anaesema rudi dk 5 ndo atakuwa anatimua mbio kushinda wote

Hahahaha basi vilio vyote they were just pretending lol....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…