Habari mshangao

Habari mshangao

ni stori ndefu bana.......ntakuhadithia kwenye thim

Mmmmh!! miye sitaki uhadithie kwa urefu...niambie tu ilitokea wapi, lini, na muhusika alikuwa nani(huyu unaweza kumuhifadhi lake jina)...
 
Mimi ndio kwanza ikitokea na mkimbilia yeye anipe ushuhuda wa huko alikokuwa,heheheeeee
 
Bujibuji

Umenichekesha sana. Wapi hiyo?

Kuna moja nilisikia jamaa alipoamka akaanza kumfukuza Mchungaji. Ilikuwa balaa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom