Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
ushawahi kuona mtu anapita treni kwa kukimbia? omba hii itokee
hahaaaaaaaa hapo huwa nacheka sana unakuta mtu alikuwa analia we baba wewe naomba urudi
japo dakika 5 tu,umetuacha wenyewe....na analia hasa.....
hii kitu itakapotokea yule anaesema rudi dk 5 ndo atakuwa anatimua mbio kushinda wote
Ulivyoelezea ni kama tukio kama hili umewahi kushuhudia au una habari zake...
Hebu basi tupe mchapo wa kile unachokifahamu...
Mimi hii ikitokea siwezi kukimbia, sasa unakimbia nini??!!!!!Hii itakuwa movie jamani...yaani huyo mwenye kamera, kama ndio alikuwa anarekodi msiba angeendelea kuwepo tu? Kwa ujasiri upi huo?
ushawahi kuona mtu anapita treni kwa kukimbia? omba hii itokee
Halafu anakimbia na kujikuta akigongwa na gari na kufa yeye, dingi anarudi kwenye majukumu yake ya kiduniahahaaaaaaaa hapo huwa nacheka sana unakuta mtu alikuwa analia we baba wewe naomba urudi
japo dakika 5 tu,umetuacha wenyewe....na analia hasa.....
hii kitu itakapotokea yule anaesema rudi dk 5 ndo atakuwa anatimua mbio kushinda wote
Adrenaline is a hormone produced by the adrenal glands during high stress or exciting situations. This powerful hormone is part of the human body's acute stress response system, also called the "fight or flight" response. It works by stimulating the heart rate, contracting blood vessels, and dilating air passages, all of which work to increase blood flow to the muscles and oxygen to the lungs. Additionally, it is used as a medical treatment for some potentially life-threatening conditions including anaphylactic shock. In the US, the medical community largely refers to this hormone as epinephrine, although the two terms may be used interchangeably.Hii itakuwa movie jamani...yaani huyo mwenye kamera, kama ndio alikuwa anarekodi msiba angeendelea kuwepo tu? Kwa ujasiri upi huo?