Habari mshangao

Ulivyoelezea ni kama tukio kama hili umewahi kushuhudia au una habari zake...

Hebu basi tupe mchapo wa kile unachokifahamu...

hahaaaaaaaa hapo huwa nacheka sana unakuta mtu alikuwa analia we baba wewe naomba urudi

japo dakika 5 tu,umetuacha wenyewe....na analia hasa.....

hii kitu itakapotokea yule anaesema rudi dk 5 ndo atakuwa anatimua mbio kushinda wote
 
Hii itakuwa movie jamani...yaani huyo mwenye kamera, kama ndio alikuwa anarekodi msiba angeendelea kuwepo tu? Kwa ujasiri upi huo?
 
Hii itakuwa movie jamani...yaani huyo mwenye kamera, kama ndio alikuwa anarekodi msiba angeendelea kuwepo tu? Kwa ujasiri upi huo?
Mimi hii ikitokea siwezi kukimbia, sasa unakimbia nini??!!!!!
 
Atakua nanihiii wa nanihii kule Ki-Bar-Mbaaa kakumbuka deni lake....mke sio muhimu kikubwa mail aiseee
 
hahaaaaaaaa hapo huwa nacheka sana unakuta mtu alikuwa analia we baba wewe naomba urudi

japo dakika 5 tu,umetuacha wenyewe....na analia hasa.....

hii kitu itakapotokea yule anaesema rudi dk 5 ndo atakuwa anatimua mbio kushinda wote
Halafu anakimbia na kujikuta akigongwa na gari na kufa yeye, dingi anarudi kwenye majukumu yake ya kidunia
 
Hii itakuwa movie jamani...yaani huyo mwenye kamera, kama ndio alikuwa anarekodi msiba angeendelea kuwepo tu? Kwa ujasiri upi huo?
Adrenaline is a hormone produced by the adrenal glands during high stress or exciting situations. This powerful hormone is part of the human body's acute stress response system, also called the "fight or flight" response. It works by stimulating the heart rate, contracting blood vessels, and dilating air passages, all of which work to increase blood flow to the muscles and oxygen to the lungs. Additionally, it is used as a medical treatment for some potentially life-threatening conditions including anaphylactic shock. In the US, the medical community largely refers to this hormone as epinephrine, although the two terms may be used interchangeably.
 
Waliojiandaa kurithi mali, ishakula kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…