Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 907
- 1,855
En hee hilo file la browser ndo google inafunguka ila opera inakataa ila hawajanikomoa badoAah, kmb bc itakuw ni browser wamefunga, maana lile file nakumbuk lina part ya ku insert URL unatype unavhotak inaleta majibu
Mchina ana makorokoro mengi mkuuSamsung docomo zinakuja na Chrome browser Fake, ukiinstall original unakuw nazo mbili 😂
Hili nalo wakalitizame vizuriIkiwezekana wafungie na nchi maskini zote... Ili kufuta taka zote online
Wakifungia hivyo watu watapata akili ya gundua jambo , simu hasa smartphone ni mtego wa akili mkuuIkiwezekana wafungie na nchi maskini zote... Ili kufuta taka zote online
linaitwa huduma? Kwa kiswahili? Kwenye kiswaswadu au smart kitocho?Walianza kufunga kipengele cha picha sasa wamefunga mazima ila kuna file linaitwa huduma kila kiswaswadu lipo ndo linafunguka google
Kiswaswadu T528linaitwa huduma? Kwa kiswahili? Kwenye kiswaswadu au smart kitocho?
lipo kwenye kiswaswadu cha aina gani? Au lile lenye tufe/ramani ya dunia?Linaitwa HUDUMA ukibadili kugha linaitwa(Browser)
File lina rangi ya blue kisha kati kuna olipo kwenye kiswaswadu cha aina gani? Au lile lenye tufe/ramani ya dunia?
wakifanya hivyo wataua sokoIsije ikawa google kutaka huduma zao zipatikane kwenye simu zao tu kama azam na DStv wanavyofanya chaneli zao zipatikane kwenye ving'amuzi vyao tu, kwingine hutaziona nje ya bidhaa zao
duuh¿ kwan google makao makuu ni wap mkuuGoogle walikuwa na washindani wao wakubwa kwenye search engine km Yahoo na Bing.. Bing ilitumika zaidi kwenye Browser ya Internet Exproler hasa hasa kwenye simu zilizotumia Os ya Symbian km Nokia...na kulikuwa Browser nyingine ilikuwa inafiti sana kwenye viswaswadu na ikawa mbadala wa Opera mini iliitwa UC Browser naona ilipigwa ban Global imebaki China kwa madai ya kwamba ilikuwa inaiba data na kuipa serikali ya China..
saw kabsa kwamba ukiziba kushoto tunapita kuliaNi kweli search engine ya Google imesitisha kutoa huduma kwenye simu za viswaswadu kupitia Internet Browser ya Opera mini lakini unaweza kutumia search engine ya DuckDuckGo na mambo yakaenda km kawaida..
Yes yes🙌🔥🔥🔥🔥🤣Tuliocheza jar games tunajua, wengine hata hawajui kama kuna opera mini ya kiswaswadu duniani, browser ya kweny kiswaswadu ilinifanya niijue jamiiforums
Makao makuu ni California US.. hata hivyo matumizi ya hizi search engine yatazidi kupungua huko mbeleni kutokana na ujio wa AI.duuh¿ kwan google makao makuu ni wap mkuu
Marekaniduuh¿ kwan google makao makuu ni wap mkuu
kwani AI ina activate kwenye viswaswadu? Ishu ni viswaswadu kunyimwa uwezo wa kuvinjari mitandaoniMakao makuu ni California US.. hata hivyo matumizi ya hizi search engine yatazidi kupungua huko mbeleni kutokana na ujio wa AI.
HaswaaWakifungia hivyo watu watapata akili ya gundua jambo , simu hasa smartphone ni mtego wa akili mkuu