habari members wa jf

Free Lady

New Member
May 12, 2009
1
0
habari its my first time to join this forum thank you for allowing be to be ure member lets all make our tanzania a better place.
 
Karibu FL, ila ungeweka na picha yako (sio avatar) ingekuwa bomba!! :D
 
habari its my first time to join this forum thank you for allowing be to be ure member lets all make our tanzania a better place.

Karibu sana free lady hapa ndo penyewe, if you won't mind am free boy.
 
habari its my first time to join this forum thank you for allowing be to be ure member lets all make our tanzania a better place.

Angalia punctuation kwenye maandishi yako dada `freelady`..

Hata hivyo karibu sana....Tunategemea mapya ya kumwaga..!!
 
Karibu FL, ila ungeweka na picha yako (sio avatar) ingekuwa bomba!! :D

We OPAQUE VIPI?

We wewe mbona hujaweka picha yako...Au hiyo gari yako ya KIFISADI uliyoweka hapo ndo

unataka kum`FATAKI` binti wa watu?

Ni kabinti kadogo ka miaka 16, kapo single na hakataki company!!

Tehe te he te heee..!!!
 
unataka kum`FATAKI` binti wa watu?

aaa, aaa, a hapana! Ninataka tu niwe namsaidia vitu vidogo vidogo, awe anakuja nyumbani nimfundishe computer, nadhani hata wewe umeona punctuation kwenye maandishi yake, haikukaa vizuri, nitamfundisha tuition ya ku~type na kuclick vizuri !!
 
Kazi ipo hapa daah!!! Karibu sana FL...nadhani mpaka sasa tayari umekuwa mwenyeji maana hapa ugeni ni Post ya kwanza tu!
 
aaa, aaa, a hapana! Ninataka tu niwe namsaidia vitu vidogo vidogo, awe anakuja nyumbani nimfundishe computer, nadhani hata wewe umeona punctuation kwenye maandishi yake, haikukaa vizuri, nitamfundisha tuition ya ku~type na kuclick vizuri !!

Duuu!!! Kumbe we jamaa hufai eee? Yani umfundishie computer

nyumbani kwako he hee heeee?? Hv unajua yuko form 2? Nadhani

wewe jamaa umemsahau yule Naibu Waziri Mkuu na waziri wa

mambo ya ndani wa enzi zileeeeeeeeeeeeee za Mrema.! Alikuwa

anawapoteza watu kama wewe...Tihi tihii tihiiii...
 
habari its my first time to join this forum thank you for allowing be to be ure member lets all make our tanzania a better place.
How much are you free binti lady?
naweza kufanya booking au nawe tayari washakujengea kizingo?
 
naona kaogopa ghafla kujibu huyu free whereva,
ila karibu sana humu. unapaswa kuwa makini na kuzisoma JF rules kila mara ili usije ukajikuta unaaga kama toddler Curthbert.... na mkongwe Mchambuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom