Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
- Thread starter
-
- #41
Hivi mwenye masomo 8 na lecturers tofauti tofauti, je wote atawapa rushwa ya ngono ili wamfaulishe?
my avatar says it all,nlipokuwa chuo fulani hapa bongo alikuja ticha fulani kutokea masomoni ambaye kiukweli alikuwa bado kijana.
Jamaa alikuwa anapenda ngono vibaya na madenti wa classes alizokuwa anafundisha. Darasani kwetu alikuwa anawapanga kama kawaida na mbaya zaidi walikuwa wanafahamiana na mwisho wa siku walikuwa wanafaurishwa kwa course alizokuwa anafundisha.
Wanaobisha hii kitu ama hawajawahi kuona au wanataka kuficha ukweli. The matter of fact hii issue ni kweli tupu na inafanyika kwenye vyuo vyetu hapa bongo.
Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.
Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.
Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!
Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!
Ni kweli na halina ubishi lkn tutakutana kwenye soko la AJIRA

wote wanashawishiana hapa ifm kuna binti mmoja anaitwa violeth.ndosi anasoma it mwaka wa pili group b.alifanya mtihani supplimentally ya c progamming baada ya kuona jinsi madudu aliyofanya hachomokii yeye mwemyewe alimshawishi mwalimu akatembea naye sasa anasoma mwaka pili.mabinti wengi wanaendekeza starehe badara kusoma mwisho wasiku ni kujiregeza kwa waadhili
Nashukuru wadau wengi mmeona uzushi wa habari hii. Nakukosoa mwandishi mchunguzi kama ifuatavyo;
1. wasichana uliowahoji ulijuaje kama hawa hakika ni wanachuo tena elimu ya juu? Justification of respondents
2. Ulipoambiwa na dada mmoja tu ukathibitsha uvumi badala ya kufanya extensive and intensive study (longitudinal) badala ya hiyo unjustifiable case study
3. hivyo vyuo vina wahadhiri wa kike, nao uliwaweka wapi kwenye study hii? Nao wangeshuhudia uwepo wa hili au unatka kutuaminisha kuwa wanashadadia (kukumbatia tabia ya wahadhiri wenzao)?
4. Ungekuwa mwanafunzi wa elimu ya juu ungekuwa unapata karibu na zero vinginevyo ungeanzisha kundi lakutafta kufaulu kwa migongo isiyoeleweka ambayo nayo ingefanyiwa uchunguzi na wengine.
Nakushauri kuwa yanayokutuma ubongoni mwako yasiwe sehemu ya jamii
Mimi nimekaa Vyuo Vikuu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa! Nadiriki kukutukana! Sijui nikuite nini- Mwoga! Kawaida kabisa kila Chuo kina serikali ya wanafunzi, kamati mbalimbali na zaidi wapo walezi ama walimu au kupitia kurugenzi za Wanafunzi(Deans of Students). Unawezaje kukuaa kimya haya maujinga yanapotendeka bila kutoa taarifa! Hata jamani kutuma sms kwa wakubwa ili wakemee tabia hii! Mnatuchafulia jina sisi tunaofundisha na hao dada zenu ambao wanajitahidi katika masomo.
Wanafunzi wadhaifu ni waoga kumfuata mwalimu kuomba msaada wa ziada na hasa wanaume. Wanajisikia (self pride) kiasi kuona ni kujiangusha kwenda kutafuta maelezo zaidi kwa walimu. Wasichana hujituma na kumfuata mwalimu kujua zaidi. Sikanushi kabisa kwamba tatizo la walimu kuwa na urafiki na wanafunzi wao lipo, la hasha. Napata shida kuamini mwanafunzi anaweza akapasishwa kwa kulala na mwalimu. Kama mjuavyo UE sio kuamulia na mtu mmoja.
Kwa ajili ya mawazo finyu kama ya mwandishi huyu- vijisichana (nawatukana ndiyo!) vilivyoshindwa mitihani kihalali, hukata rufaa na kudai eti nilikataa kutoa hongo!
Mwisho tuwe wakweli, kama kuna wahadhiri wadhambi hawa ni kuwafichua kupitia njia nyingi zilizopo, ili waondolewe mara moja!
pia kwa chuo kama st joseph na sua wasichana hufaulishwa kwa sababu ya jinsia yao. Hata akiandika madudu ktk mtihani maksi anazo
Mkuu habari hii ni dhana zaidi kuliko ukweli halisi kwasababu
Nimefanya kazi vyuoni kabla sijaenda kwenye private sector, kupewa marks vyuon na lecturers ni dhana na wanafunzi weak hupenda kuitumia kuonyesha kuwa wameonewa au excuses
a. Utaratibu wa ku-mark mitihani ni wa panel si mwalimu moja hivyo si rahisi kuweka marks kwa ajili ya mwanafunzi fulani
b. Mwalimu anasimimia only 40% ya CW yako, while 60% ni final ambayo mwalimu si lazima asahihishe script yako; wanafunzi wazuri hawana hata sababu ya kuhangaika na mwalimu na wanapasua
c. Kama hiyo haitoshi kuna external examiner anapitia scripts zote na huwa huyu anatoka chuo kingine au kwenye private sector, ana rekebisha marks na marking ya panel; mara nyingi wako in fever of students..
d. Ni bahati mbaya sana wasichana weak hupenda kujipendekeza kwa walimu hasa kwa zile mark 40% za CW lakini hata hivyo mara nyingi hufeli kwasababu kuna another 60% ambazo mwalimu hana control..
Huo ndio uzoefu wangu chuoni lakini kama mambo yamebadilika basi kuna haja ya kufanya utafiti wa kina ili tusiwa onee wahadhiri na wanafunzi pia..
Soma habari yote kwanza na uielewe ndipo utoe comments. Imeelezwa kwamba kabla ya mitihani mhadhiri humpa mwanafunzi maswali na majibu ikiwa ni shukrani kwa msichana aliyeridhia kuachia mwili wake utumiwe na mwadhiri kwa kujinafsi kwa malengo ya makubaliano kwa hao wawili.
Mhadhiri na mwanafunzi wanajua fika utaratibu wa mitihani vyuoni husahihishwa kwa jopo, ndio maana mwanafunzi huandaliwa maswali na majibu ili kufaulu kwake kuwa kwa uwazi bila hatihati. Soma tena ili uelewe mwandika makala haya kwenye gazeti la Habari Leo alivyofafanua.
Sawa mkuu, mwalimu wa chuo aliyefikia kiasi hicho cha kutoa maswali na majibu amekubuhu katika upuuzi...
Besides, utaratibu wa panel ni kwamba katika maswali yaliyopo kwenye mitihani ya mwisho kila mwalimu somo anapeleka maswali yake, panel leaders wanapitisha maswali na mengi yanakuwa katika form of options..kwa mwanafunzi..
Bado sehemu kubwa ya malalamiko at least kwa muda niliokuwepo chuo ilikuwa dhana, tena inakuwa kubwa kwa wale wahadhari ambao wako serious na masomo; na test meaning (40%)...wanafunzi wanaopenda leisurer faire huanza malalamiko..
anyway, mwandishi anaweza kuwa na hoja..nilikuwa naongea experience yangu zamani hizo..mambo huenda yamebadilika.
Mambo yamebadilika sana, unaona hata President anakubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuzawadiwa PHD na chuo ambacho hakina fakati yenye kutoa hati hizo. Kuna fakati pale UDM ambayo imetoa wahitimu wa PHD na hivyo kuweza kuwa na stahili ya kutoa PHD za heshima? Ni usanii tu na wakubwa wakikubali kuvikwa kilecha cha ukoka basi wataendelea kuchezewa. Nyerere katu asingekubali.
Sasa haya ya watoto wa kike bora tutafute njia ya kuwanasua katika mtego huo badala ya kuwatetea wahadhili.