Habari Corparation imezaliwa Upya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari Corparation imezaliwa Upya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 9, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila nikisoma magazeti ya Rai na Mtanzania naona sasa tofauti, yanaichambua ccm, kuna tetesi kwamba bodi ya habari corparation imekaa na imeamua kuichambua ccm kama Karanga, hata wale magwiji wa makala zinazoichambua ccm kama vile hilal k. Sued amerudishwa tena kuandika makala ktk gazeti la rai na sasa ameambiwa atumie ipasavyo kalamu yake kuichambua ccm na ameicha solemba mwanahalisi ambayo alitimkia.hii inatokana na magazeti hayo hapo mwanzo kuelemea sana ccm jambo ambalo wachambuzi imeona itakuwa pigo kwa wale wanaowania urais na kuungwa mkono na magazeti hayo. sharti kubwa kutomgusa mmiliki wake
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Aisee!!
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  mi pia nimenote some changes, hasa wanaposoma magazeti kwen TV asubuhi, sina hakika na changes kwenye bodi ya uhariri kwa sababu kusema kweli siyanunui hata siku moja, lakini ni kweli kuna mabadiliko flani
   
 4. mawazotu

  mawazotu Senior Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kaka nimeipenda hii ustarabu muhimu , mambo ya kutukanana yamepitwa na wakati pinga hoja cyo matusi
   
 5. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna ukweli hasa mtanzania limebadilika, lakini haya magazeti rai na mtazania si ni Rostam
   
 6. k

  kingmaker Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi kwani hamfahamu camp ya RA na EL wamekuwa na strategy ya kuichafua serikali ya mkwere na kuiondolea imani kwa umma, imani ambayo tayari haipo...in short wanafanya kila wawezalo kufanya kazi ya serikali iwe ngumu mara mia!!
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  umetumwa kuyafanyia udalali?

  waambie magazeti yao yapo kwenye kundi moja na Uhuru, Daily Noise, HabariLeo, Jambo Leo, Mtanzania, RAI, Mzalendo

  aya magazet yanachukiwa kama inavyochukiwa CCM
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  wamefulia hao mtanzania.

  hata leo ukitaka gazeti lenye habari za majungu kuhusu dr.slaa, soma mtanzania na rai
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  AAaaaah Muhingooooo....unaanza promo eeeh???? Kudadadeki hatununui ushuzi wowote wa habari corp.hata mkiremba vipi!
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Tuko kwenye karne ambayo tuna teknolojia ya 3D( three dimension). wewe ubongo wako bado unafikiria fikiria in 1D( One Dimension).

  Jitatahidi kuatazma,kusoma na kuchambua mambo kwa marefu ,mapana na kimo chake.

  Usikute unawacheka kina makamba kumbe wana nafuu zaidi yako
   
 11. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa unalo, unakuja jamvini unanuka kila mtu anakukimbiza, huchambi ww,
  hujui kuoga jitu zima, Magazeti ya kifisadi, stop popularizing them, ww mwenye muhogomchungu maskini fukara kunuka, unatetea magazeti ya kifisadi, stop enslaving
  urself, no dought umetumwa, kibaraka ww
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu msidanganyike na magazeti yanayofanya kazi za propaganda. Mtachanganyikiwa bure tu. Ebu fikiria yalivyofanya kazi ya kumchafua Dr. Slaa (PhD) na chadema na kuipamba ccm!!! Halafu leo hii mtu aniambie eti magazeti yameanza kuichambua ccm, ni ukinyonganyonga wa hayo magazeti ni move iliyobuniwa rasmi kuvuruga upinzani. Hakuna lolote hapo. Wapuuzwe tu.
   
 13. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Changa la amcho
   
 14. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Okay muhogomchungu, sasa tuambie lengo lako la kuleta hii hoja jamvini - je ni kwamba unatushauri tuanze kuyanunua hayo magazeti ? Kama ni hivyo mimi nakuambia bila kumung'unya maneno - siyanunui ng'o ! Unataka kujua sababu ? Haya nitakuambia - wanaoendesha hayo magazeti wananuka ! Bila shaka unajua ni viumbe gani vinapenda kuogelea penye uvundo na uchafu, haya nitakuambia - ni inzi ! Magazeti ya Habari Corporation ? you must be kidding !
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  As far as i know C.E.O wa Habari Corporation ni Hussein Bashe swahiba wa Rostam so i am not sure kama kuna changes zozote ambazo tuzitarajie hasa kwenye uandikaji wa habari zao
   
 16. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  someni wenyewe huo uchgafu wenu
   
 17. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Nani kakutuma kufanya matangazo? Naona hali inazidi kuwa mbaya Habari ciorporation, kwa ushauri wangu fungeni au uzeni kampuni.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Mpaka Rostam aache umiliki ndio ntapata imani na hayo magazeti.....kwa sasa sinunui wala sisomi kwa mtu aliyenunua...kwa kuwa ntamzidishia Rostam utajiri wakati ananiibia
   
 19. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nachukia mmiliki wa haya magazeti kwa sababu ametuibia vya kutosha, ametudhalilisha kiasi cha kutosha hata najikuta kuchukia magazeti yeyewe na waandishi wake. Waandishi wa habari Corp wananuka kama anavyoinuka mmiliki wao!!! Hata waandike nini siwezi kusoma magazeti yao, labda wahame waende vyumba vingine vya habari na waache uozo walioambukizwa na Muejemi wao! Phu...... tuondolee takataka za kuwapamba mafisadi na mali zao!!!!!!!!!!!!!
   
 20. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Kama Ni kweli wanatenda hayo toka rohoni na si mdomoni basi mwanangu Hekima inasema mamlaka yeyote ikijifitini LAZIMA ISAMBARATIKE Hasira ya mkizi ni furaha kwa mvuvi!
   
Loading...