H.Polepole na high expectation, nadra sana duniani!

H.Polepole na high expectation, nadra sana duniani!

HHP ameondoka mwenyewe kwenye system. Huwezi kusema anaongea haya kwa vile upepo hauko upande wake.

Siku anaandika barua ya kujiuzulu na kwachana upepo ulikuwa upande wake.

Kitu ambacho huna control nacho ndio upepo umekuendea vibaya. Kwa saab hatuna control na hali ya hewa. Usitumie metaphors and idioms usizozielewa vizuri, zinakufanya uonekane wa ovyo.

Polepole ametuma shock waves nchini kwa saab amewaonyesha CCM na serikali kwamba kumbe nguvu ya hela na vyeo ina mahala huwa inakwama.

Si kila mtu, si watumishi wote na makada na wajumbe wa NEC za wilaya mpaka Taifa, na wabunge na mawaziri na watunza siri za nchi wooooote nchini unaweza kuwanunua on demand, pale unapotaka, kwa kuwapa vyeo na hela na landcruiser la serikali na diplomatic passport na kuitwa mheshimiwa kila ukiingia msibani na harusini na kanisani watu wanasimama.

Kumbe sio wote watakubali uwaburuze kama nguruwe na kuwaagiza wauze nchi yao na kusaliti wenzao kwa vyeo na hela za kuhonga wajumbe na wabunge. Kuna siku waziri au mwanajeshi mtunza siri atasanuka mabaya zaidi na atakinukisha pakubwa zaidi.

Upepo sio lazima ufukuzwe, capacity ya madaraka unayotumikia na umbali kutoka ngazi za maamuzi unaweza kudermine pia.
Malengo yako yakienda nje ya plan zako na ndogo zako za kimaisha vinaweza pia kukufanya uwe frastruated na kuburst out.

EL aliondoka CCM baada ya ndoto yake ya Urais kukatwa, hakuna aliyemfukuza, kilichomuodoa ni prediction ya future yake Vs ndoto zake.

Wakati mwingine sio lazima tukubaliane mawazo, kila mtu ana namna anavyochukulia mambo, Kwa angle hiyo hata Mimi naweza kukuona wa hovyo tu.

ndani ya Benghazi Libya.
 
Hili ndio linalonishangaza maana haya yote sio mageni.

JM na team yake walikuwa na kitengo pale masaki iko wazi Kwa kila mtu toka 2015, na ndio maana hata sasa amepumzishwa aendelee na majukumu yake yaleyale.

Kipilimba alipelekwa pale NEC IT strategically kila mtu alijua na watu walilipigia kelele hasa team "ulipo tupo",

Prop Lipumba alilipigia kelele na hata kwenda China kufanya uchunguzi juu ya Ballot papers, CUF wanalijua hili vizuri.

HP 2015 na 2020 naye alikuwa engineer WA huu michezo kiasi cha kushinda uchaguzi kelele zikapigwa na watu wakapiga kimya na yeye akashangilia ushindi hata kwa kutukebehi, God father amekufa na sasa network haipo tena tunamuona shujaa.

Watanzania tunahitaji sana utulivu wa akili.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Huu mchezo umeannza baada ya uchaguzi wa 2015. Na wakati huo Lipumba hakukugombea zaidi ya kuonekana akienda kumpongeza Mwendazake.
Alichoongea HP Ni kipya CUF hawakuwahi kukijua hivyo tusichukulie kirahisi. Chaguzi za nyuma HP hakuwahi kuwa sehemu ya mchakato wa uchaguzi. Huyu alianza kujulikana zaidi wakati wa Tume ya Warioba,na bunge la katiba. Huyu asingeweza kuingia kwenye mfumo wa watawala kwani ndio walioshikilia msimamo wa kupinga Katiba pendekezwa hivyo walionekana kwenda kinyume na matakwa ya watawala. Na huko nyuma hatukuwa na Nida,vitambulisho vya Nida vimeanza kutoka awamu ya tano,na ni baada ya JPM kuingilia kati.
 
CCM wanajivunia rasimali upumbavu wa watu hivyo hata ikitolewa ithibati ya video kabisa juu ya wizi wa kura, mbweha sisi tubaki kuongea shiti mitandaoni then life as usual.

Tangu alipoanza kuongea Polepole ingekuwa Kenya, muda huu ingekuwa inaongeleka lugha nyingine kabisa.
 
1.) Kwamba kuna cable kutoka sisi em kwenda tume ya uchafuzi?
2.) Kwamba eisiitii na chauma ni mipango kuiuna demokrasia?
3.) Kumbe kiku wete na rost tam wameishika fisiem wanajipangia safu ndomana mkewe na mwanawe wanafrii entri?
4.) Hivyo VP na PM wamepisha maana awamu yao ya miaka kumi imeisha lkn kibb anafosiwa na tamaa zake na wanamtandao kuendelea?
5.) Kwahiyo chama kimejaa WAOGA wanashindwa kupingwa maovu yafanywayo na wahuni wakiongozwa na JAKAROSTA.
Tunamengi ya kujifunza na kuyafurumua tatizo kunanchi inawatu wengi WAOGA,wajinga,wasiojali na wasio wazalendo
Majinga ndio mengi, mafisi, mafiraji
 
CHADEMA hawajawahi kuwa wrong.....hadi raha, huu mtifuano wa CCM sio wa kitoto.

Ametudhihirishia aliyoyasema Nape Moses kuwa kura halali na nusu halali na feki....
Kama walivyomuamini Freeman Mbowe kuwe Mwenyekiti wao kwa Miaka 20 sasa wanadai eti ni pandikizi la CCM. If they have never been wrong what happened to Freeman Mbowe as a Party Chaiman..mtu msaliti na pandikizi la CCM
 
H.Polepole alipotangaza kuongea na kuiambia nchi nzima ikae chonjo ili kumsikiliza nilikuwa na wasi wasi sana kwamba atachemka kwani mara nyingi sana watu wanapokuwa na high expectations huondoka disappointed, lkn H.Polepole ame-meet expectations za watu, yaani watu wamesubiri kwa hamu nchi nzima kumsikiliza na bado wakapata walichokitegemea na zaidi, hii siyo kawaida hata kidunia.

sasa nimeanza kuelewa zile shule za vipaji maalumu waasisi wetu waliona mbali.

respect!
We phala kuna mtu ametumia account yako?
 
mwehu yule
 
Wakati wana mtandao wanasikiliza clip ya Hpole naona walijawa na ghazabu
 
H.Polepole alipotangaza kuongea na kuiambia nchi nzima ikae chonjo ili kumsikiliza nilikuwa na wasi wasi sana kwamba atachemka kwani mara nyingi sana watu wanapokuwa na high expectations huondoka disappointed, lkn H.Polepole ame-meet expectations za watu, yaani watu wamesubiri kwa hamu nchi nzima kumsikiliza na bado wakapata walichokitegemea na zaidi, hii siyo kawaida hata kidunia.

sasa nimeanza kuelewa zile shule za vipaji maalumu waasisi wetu waliona mbali.

respect!
Vipi tena mtoto wa Kijakazi umekosa urithi nini?
 
Hili ndio linalonishangaza maana haya yote sio mageni.

JM na team yake walikuwa na kitengo pale masaki iko wazi Kwa kila mtu toka 2015, na ndio maana hata sasa amepumzishwa aendelee na majukumu yake yaleyale.

Kipilimba alipelekwa pale NEC IT strategically kila mtu alijua na watu walilipigia kelele hasa team "ulipo tupo",

Prop Lipumba alilipigia kelele na hata kwenda China kufanya uchunguzi juu ya Ballot papers, CUF wanalijua hili vizuri.

HP 2015 na 2020 naye alikuwa engineer WA huu michezo kiasi cha kushinda uchaguzi kelele zikapigwa na watu wakapiga kimya na yeye akashangilia ushindi hata kwa kutukebehi, God father amekufa na sasa network haipo tena tunamuona shujaa.

Watanzania tunahitaji sana utulivu wa akili.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Ukiachana na maslai ambayo unayoyapata, ushauri wako ni upi sasa?

Ulichoeleza ni zaidi ya ujuaji lakini akuna suluhisho au ndio tuendelee kuwa na utulivu wa akili alafu tukishakuwa nao !!
 
Kumbe hata Zenji Mwinyi akukubaliwa nawana
Ndio mana anaifanya kazi
Hii haikuwa siri. CCM Zanzibar ukitaka ushinde basi ukubaliwe na watu wa CCM bara ndio wenye idadi ya kura nyingi.
Mara zote wagombea wanaopitishwa hasa Urais sio wale wanaowataka.

Utasikia huyo Rais ni waDodoma sio sie Wazanzibar.
 
Mene mene tekeli na peresi 😳 !
Wazee waliodhalilishwa waendelea kumlilia Mungu na Karma 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone mtifuano utaendaje 🤷🏿‍♂️ !

What is coming next ??!
Yetu macho na masikio 🙌🤷🏿‍♂️ !
 
Back
Top Bottom