Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,217
- 14,811
H.Polepole alipotangaza kuongea na kuiambia nchi nzima ikae chonjo ili kumsikiliza nilikuwa na wasi wasi sana kwamba atachemka kwani mara nyingi sana watu wanapokuwa na high expectations huondoka disappointed, lkn H.Polepole ame-meet expectations za watu, yaani watu wamesubiri kwa hamu nchi nzima kumsikiliza na bado wakapata walichokitegemea na zaidi, hii siyo kawaida hata kidunia.
sasa nimeanza kuelewa zile shule za vipaji maalumu waasisi wetu waliona mbali.
respect!
sasa nimeanza kuelewa zile shule za vipaji maalumu waasisi wetu waliona mbali.
respect!