Mkwepakodi,Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Kwa uelewa wako mpana unafikiri matokeo ya tume ya upande mmoja yatatufikisha wapi kwenye kudai chetu? Na bila kusahau kuwa disputes zetu zinasikilizwa ICSIDMbona mnazingua sana.mbona mnakuwa na hofu wana jf.hakika raia wa tanzania ni watu waajabu sana sisi.kweli kabisaaa tuna diriki kumtetea mwizi badala ya kuungana na raisi wetu?
Hakuna mahali ambapo tunaonyesha nia yakulinda na kutetea maslahi ya nchi.
Raisi alizuia mchanga ilikupima na kujua thamani ya kilichopo ndani ya mchanga.kuna ubaya gani hapo.tumekubaliana na yote kuwa mikataba nimibovu tulio wapa dhamana wametuingiza mkenge sawa lkn hatuwezi kukubali kuendelea kudanganywa kwenye mchanga pia.watwambie kila mwaka wanakula hasara wakati wanapata faida mara dufu zaidi kwenye mchanga huo.
Kwani hili linaubaya gani.
Na Magufuli huyu huyu alipopiga meza kisha kupigia Miswada hiyo ya Kuiuza Tanzania, Yeye Kikwete, Mkapa na Wengine walipewa Asilimka Ngapi? Akina Yona na Mramba walipelekwa Jela Kwa Kulisababishia Taifa hasara, Basi Kama Kweli nyie washenzi ni Wazalendo kabla ya Kuhangaika na Mzungu wapelekeni waliowauzia Nchi Jela ndio Tutaona Mko serious. I swear Mkifanya hivi I will shut up na hata Wazungu watawaheshimu!
Vinginevyo ni Utumbo Mtupu. Na aache kulialia hakuna Dawa hospitalini wakati kwa Ujinga alichukua pesa bila hata Budget kununulia Vindege visivyo na tija ili Baadaye aligambe, "Nirinunua Ndege"
Matusi kwa Rais ya nini? Mimi nilishamjua huyu siku nyingi kuwa ni mtumwa wa kupuuzwa tu. Ana vinasaba vyote vya ulimbukeni wa kuwa Marekani ndio maana haishi kutuwekea picha zake hapa na visutisuti vyake. Kama unataja viongozi waliokuwepo Serikalini wakati mikataba inapitishwa mbona intentionally umewaacha Sumaye na Lowassa ambao walikuwa far too seniors??Well nilimaanisha kwa Upumbavu wa Kijumla Kama wabunge wa CCM, Ikumbukwe neno Stupid ni Baya kuliko Upumbavu sasa sikiliza ile Hotuba ya Magufuli alimwiita Mtu mmoja stupid. Anyway I need to edit someting ingawa simwogopi mtu, sikukusudia hapa Kumwita Rais Mpumbavu kama Binafsi!
Mkuu MKWEPA KODI, I salute you!Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Una jeuri eeh??Well nilimaanisha kwa Upumbavu wa Kijumla Kama wabunge wa CCM, Ikumbukwe neno Stupid ni Baya kuliko Upumbavu sasa sikiliza ile Hotuba ya Magufuli alimwiita Mtu mmoja stupid. Anyway I need to edit someting ingawa simwogopi mtu, sikukusudia hapa Kumwita Rais Mpumbavu kama Binafsi!
Mkuu kumbuka haya yote ni kutokana na sheria zetu wenyewe jiulize hata katiba iliyopo 1977 inampa kinga mkuu wa nchi by then kushtakiwa cha msingi ni kujenga msingi bora wa sheria ndio tukimbilie kuangalia maswala nyeti kama hayaSawa sawa kabisa Mkuu. Umeelezea vizuri sana na mimi kwa kuongezea waliohusika na kusaini mikataba hiyo ni mafisadi wamehujumu wa nchi. Kwanini waendelee kuogopwa!? Kwanini wasipandishwe kizimbani hawa wahujumu uchumi? Kwa ubora gani walionao hawa wahujumu uchumi mpaka waendelee kulindwa dhidi ya maslahi ya Watanzania zaidi ya milioni 50!?
Unalialia tu,heading na story vipo tofauti.Humu sijaona ulipomtaja Gwajima.Ndio akili za bavicha hiziHakuna anayebisha Tanzania kwenye madini na mafuta hatujaibiwa, ila hatukuibiwa kwa kulazimishwa! Tuliibiwa kwa usaliti wa viongozi wetu kuanzia marais na mawaziri, wanasheria na wabunge wa CCM, akiwepo huyu Rais Magufuli, kwa uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na nasema ni kuwa misguided kwa kuwa yeyote anayeshabikia approach ya Rais Magufuli, kwenye hili swala la madini anayeshabikia ni kwamba yuko misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni rafiki au ni adui kwangu nitasema kwa masikitiko sina jina lingine la kumpa ni kuwa yuko misguided.
Kuna msemo usemao asiyejifunza kwa historia mbaya, itamrudia. Ni kweli madini ni yetu, mafuta ni yetu lakini tumeingia mikataba ya kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini kusimania nchi yetu.
Sasa kuna aliyesema ati hatuwezi kuacha madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya kakaratasi. That is none sense, mkataba ni zaidi ya makaratasi na zina wadau wengi, kuna mikopo ya mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za kampuni na assets za kampuni ni pamoja na zabuni na contracts. Kukiwa na dosari au malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara kubwa ni negotiations sio kutishana wala uhuni.
1)Kuna mifano mingi ya kujifunza, uchumi wa kenya leo ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu mwalimu Nyerere alitaifisha mali za wageni.
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa mwalimu Nyerere aligoma kulipa madeni na pia aliingia mgogoro na world bank na IMF.
3)Venezuela leo kuna shida kubwa ya uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha visima vya mafuta.
Vya wazungu kwa vile tu aliamini mafuta ni ya Venezuela. Sasa venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua ardhi which was ok, lakini kwa zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala maelewano.
5) Iraq Saddam leo ni hayati lakini kisa hasa ni mafuta alitaifisha visima vya wazungu na miaka yote ugomvi wote waliyataka.
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa kuwa sera yake ilikuwa ni kutaifisha mali Biafra.
7) Gaddafi vivyo hivyo.
8) Salvador ayende wa chile walimreplace kwa kumuua na kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea ubepari.
CCM ilifanya usaliti sana kuiuza nchi kwenye kikapu kwa hili swala la madini. Ila Rais Magufuli wa CCM anayetaka sifa za kisiasa anafanya kosa kubwa zaidi kwa kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni hekima?
Acha tupate shida kaa hukohuko USA tuachie TZ yetu!!Hakuna anayebisha Tanzania kwenye madini na mafuta hatujaibiwa, ila hatukuibiwa kwa kulazimishwa! Tuliibiwa kwa usaliti wa viongozi wetu kuanzia marais na mawaziri, wanasheria na wabunge wa CCM, akiwepo huyu Rais Magufuli, kwa uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na nasema ni kuwa misguided kwa kuwa yeyote anayeshabikia approach ya Rais Magufuli, kwenye hili swala la madini anayeshabikia ni kwamba yuko misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni rafiki au ni adui kwangu nitasema kwa masikitiko sina jina lingine la kumpa ni kuwa yuko misguided.

Vipi habari za TMAA?? Tulia sindano ikuingie vizuri kijana!!Kwa sisi tulio wai kuchimba na kusafirisha tunaelewa meng sana, kiukweli tume imefanya vitu vya ovyo sana, Mkuu T.L.Marandu umenena vema kabsa
Mi sijui unalalamika nini?Mnapinga jambo gani? upumbavu uliokithili umewajaa, tume haijamaliza kazi yake na wala haijawasilisha chochote kwa Rais ajabu kila uchao mijitu inabwabwaja utumbo tu humu, hivi nikikuuliza Magufuli kufanya nini au kachukua uamuzi gani kuhusu hili saga usouunga mkono utanijibu nini?
Ana haki ya Maoni kama Mtanzania na Kiongozi wa Dini ,Lakini haina maana muda wote yuko sahihi,he can be wrong,very wrong!ivi gwajima ni mwana siasa au inakuaje mi sielewi ujue
wewe kwa maoni yako haya kama hujatumwa ni wakuonewa huruma. huna self esteem unafikiri marndeleo yataletwa na wageni au mabwanyenye.Hakuna anayebisha Tanzania kwenye madini na mafuta hatujaibiwa, ila hatukuibiwa kwa kulazimishwa! Tuliibiwa kwa usaliti wa viongozi wetu kuanzia marais na mawaziri, wanasheria na wabunge wa CCM, akiwepo huyu Rais Magufuli, kwa uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na nasema ni kuwa misguided kwa kuwa yeyote anayeshabikia approach ya Rais Magufuli, kwenye hili swala la madini anayeshabikia ni kwamba yuko misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni rafiki au ni adui kwangu nitasema kwa masikitiko sina jina lingine la kumpa ni kuwa yuko misguided.
Kuna msemo usemao asiyejifunza kwa historia mbaya, itamrudia. Ni kweli madini ni yetu, mafuta ni yetu lakini tumeingia mikataba ya kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini kusimania nchi yetu.
Sasa kuna aliyesema ati hatuwezi kuacha madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya kakaratasi. That is none sense, mkataba ni zaidi ya makaratasi na zina wadau wengi, kuna mikopo ya mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za kampuni na assets za kampuni ni pamoja na zabuni na contracts. Kukiwa na dosari au malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara kubwa ni negotiations sio kutishana wala uhuni.
1)Kuna mifano mingi ya kujifunza, uchumi wa kenya leo ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu mwalimu Nyerere alitaifisha mali za wageni.
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa mwalimu Nyerere aligoma kulipa madeni na pia aliingia mgogoro na world bank na IMF.
3)Venezuela leo kuna shida kubwa ya uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha visima vya mafuta.
Vya wazungu kwa vile tu aliamini mafuta ni ya Venezuela. Sasa venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua ardhi which was ok, lakini kwa zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala maelewano.
5) Iraq Saddam leo ni hayati lakini kisa hasa ni mafuta alitaifisha visima vya wazungu na miaka yote ugomvi wote waliyataka.
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa kuwa sera yake ilikuwa ni kutaifisha mali Biafra.
7) Gaddafi vivyo hivyo.
8) Salvador ayende wa chile walimreplace kwa kumuua na kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea ubepari.
CCM ilifanya usaliti sana kuiuza nchi kwenye kikapu kwa hili swala la madini. Ila Rais Magufuli wa CCM anayetaka sifa za kisiasa anafanya kosa kubwa zaidi kwa kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni hekima?
Wakina nani? wakinihitaji kwa lipi? Mimi sio mhalalifu na wala Sijatenda kosa kuvoice maoni Yengu! Nani Unadhani anayo mamlaka ya Kunihitaji mimi hapo Tanzania kwa Mambo ya Kipuuzi? Mwenye uwezo huo hakuna, alie afuge ndevu anyoe, whatever niko beyond Jurisdiction ya hao mnaowaabudu! Labda ningefanya Capital crime kama Kuua, Ugaidi, au kutaka Kulindua serikali ya Tz! Mambo ambayo hayawezvie kuwa Mawazoni mwangu hata ningeishi miaka milioni moja!Una jeuri eeh??
uzuri ww ni verified user hivyo wakikuhitaji watakupata tu!
hizi sifa za kijinga unazovuna hapa kuwa makini zisijezikakufanya ujute bdae
Ni hayo tu mkuu unahiyari kuyachukua au kupotezea