Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,790
- Thread starter
- #121
Gwajima anakuambia Makonda alipata ZERO, halafu hapo papo anakuambia tena nina nakala ya cheti chake, na bado kuna misukule na manyumbx wanaamini, wewe Salary Slip mzima kweli wewe ?
Pia nilihoji kuwa kama kweli watu wana ushahidi wa kutosha kwa nini wasijitokeze watu wamshitaki mahakamani kwa manufaa ya umma.
Guess what? Nimesikia tayari watu washaanza kujipanga kufanya hivyo.
Ila nilivyopingwa humu na baadhi ya watu wakati nilipohoji utadhani nilikuwa naongea pumba tupu....lakini hao hao sasa wanaanza kufanya yale niliyoyahoji mimi.
Nyumbu bana....
Wewe ni mnafiki tu tena wa kiwango cha lami na ni mtetezi wa huyo kilaza.