Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Pia nilihoji kuwa kama kweli watu wana ushahidi wa kutosha kwa nini wasijitokeze watu wamshitaki mahakamani kwa manufaa ya umma.

Guess what? Nimesikia tayari watu washaanza kujipanga kufanya hivyo.

Ila nilivyopingwa humu na baadhi ya watu wakati nilipohoji utadhani nilikuwa naongea pumba tupu....lakini hao hao sasa wanaanza kufanya yale niliyoyahoji mimi.

Nyumbu bana....
Mkuu hiyo thread yako kuhoji walalamishi kuhusu RC kama ana vyeti feki akiwemo Gwajima wavitoe au waende mahakamani niliisoma siku chache zilizopita.Cha ajabu nyumbu kibao zilikushambulia,leo hii zinaanzisha thread ya kumsihi mesiah wao Gwajima atoe vyeti kama alivyoahidi ili wapate pa kuanzia baada ya single yao ya vyeti kuelekea ku expire.Cha ajabu wanasahau walikushambulia,ndo maana tunawaitaga nyumbu ila hawaelewi.Hata niliyoyaandika haya hawataelewa.
 
Shukran giddan!
 
Hv wadau mbona mnaishusha hadhi jf coz ninavyoamini huku ni tofauti na fb huku kuna watu angalau wamepita chuo kikuu sasa iweje kama umeelimika halafu uombe vyeti vya mtu anaedaiwa amepta div.0? Nawe unaamini kabisa kuna cheti kwa Gwajima? Tangu lini sasa 0 ikawa na cheti au result slip? Daaah hii inadhihirisha kabisa watu hata mifumo ya formal education hawaijui.
 
Wanaomuamini Gwajima akili zao hazina akili. Gwajima si ndie alitangaza ana uwezo wa kufufua watu ambao mpaka leo bado wamekufa.
Mtu anaefufua watu atashindwa kutengeneza stori ya cheti. Na atoe hivyo vyeti aone kama itachukua zaidi ya dakika sifuri kabla hajajikuta ndani ya Segerea.
 
Lets assume both are right. Makonda ni Bashite na Gwajima anahusika na Madawa.

Nani ana vyombo vya kiuchunguzi? Makonda.
Nani alianzisha hili valangati? Makonda.

Alichofanya huyu mchungaji mapepe ni kurespond inkind.

Kama kuna kisicho sahihi amefanya au kusema vyombo vya usalama vifuate mkondo wake.

Kibaya kinachoendelea RC amegoma kufanyiwa uchunguzi, kutwa kulia makanisani. Kila mtuhumiwa akienda kulia kanisani kutatosha?
 
Naona vita ya rohoni katika thread hii.Shetani anaonesha hasira zake wazi wazi.Husda na roho ya chuki dhidi ya watu waliofanikiwa,anajitahidi kuleta confusion ili avune kote kote.Ni sawa na Ibilisi alipomwambia Yesu kuwa "kama wewe ni mwana wa Mungu jiachie maana imeandikwa atakutumia malaika wakudake usijikwae mguu wako" Kama mtumishi wa Mungu,naamini atagundua mitego na hila za mwovu.Unafiki utashindwa,na haki na ukweli vitabaki
 
U are the great thinker umeongea kilichopo ktk fikra zng vile vile lkn ktk lugha nyepesi na ya kueleweka zaidi
Hahahaaa kwel maajabu hayawezi kuisha...kwakuwa kaongea ulichotaka kusikia ndo great thinker?,jitathimini upya mkuu. Haihusiana na makonda va gwajima mi nmeona comment yako tu
 
Mtoa mada ni una tatizo kubwa la uelewa. Hivi mtu anawezaje kusema anavyeti vya mtu bila kupewa na huyo mtu na pia yeye si baraza la mitihani au shule aliyosoma mtu huyo!! Obsession yenu inawafanya muendike upuuzi mwingi sana.
 
Acha maneno weka vyeti

Nyumbu, nyumbu tu, akiambiwa aseme 'acha maneno weka vyeti basi atabaki na hiyo phrase weee, hata akiulizwa babaako nani yeye atarudia tu ile phrase ya kinyumbu, hebu iseme tena nyumbu
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
jana alimpiga dongo, ati gwajima alikalia chungu ndio maana ni mfupi...hahahaha
 
Gwajima sijawahi kumwamini, aweke mezani vyeti original vya Basite na Paul ili tujilizishe na ushaidi wake,,la sivyo ni kelele za chura acha ng.ombe aendelee kunywa maji. Maana kama issue ni majina watu wengi sana wmerudia shule na kuchukua majina ya wengine.
kwahyo kwa kuwa wengi wanachukua majina bas ndio halali kwa bashite??? duuh kma gwajima muongo si mumkamate kesi ya uchochezi kma kina lisu au lema...... yaani nyie gwajima kudhalilishwa vile kuwa ni muuza madawa wakati ni mchungaji mliona ni sawa ila yye kuretaliate ndio kosa???? hvi watanzania tuna shida gani lakini????
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Hapo ndo utajua kuwa taifa limejaa wanafiki!!wanatuona mazuzu
 
Nyumbu, nyumbu tu, akiambiwa aseme 'acha maneno weka vyeti basi atabaki na hiyo phrase weee, hata akiulizwa babaako nani yeye atarudia tu ile phrase ya kinyumbu, hebu iseme tena nyumbu
Na hapa ndipo nashangaaga jf Yaani kila anyepinga serikali ni lazma awe NYUMBU au BAVICHA!!!! huyo una uhakika ana kadi ya chadema??? kwani msukuma hayupo ccm ila mbona kakwaruzana na makonda??? ssa ni lazma kila anayeikosoa serkali awe upinzani tu na Nyumbu??
 
Una maani
Sasa mnasema alipata division 0 halafu mnasema mshenga Gwajima ana cheti kakitoa wapi?
Ninyi vijana wa Chadema mbona mnakuwa kama vichwa vyenu havina ubongo!
Una maanisha bongoless??hahahahaaa!!
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
SASA hivi kuna ishu ya CCM kutimuana, ishu ya vyeti itamezwa . Asubirie upepo wa CCM utulie ndo alifulumue upya
 
Elewa kwamba gwajma na makonda wameshutumiana,huyu madawa na yule vyet fek,sasa huu c muda wa mapov bali n muda wa kumpta mtuhumiw wa kwel
Kuna watu humu ndani wanachekesha Makonda akisingizia watu ni sawa hao watu hawapaswi kujibu maana ni mungu kwamba hakosei, Gwajima ana haki ya kujibu kwa staili yoyote anayoiona cha muhimu Bashite nae athibitishe uongo wa Gwajima.
 
Na hapa ndipo nashangaaga jf Yaani kila anyepinga serikali ni lazma awe NYUMBU au BAVICHA!!!! huyo una uhakika ana kadi ya chadema??? kwani msukuma hayupo ccm ila mbona kakwaruzana na makonda??? ssa ni lazma kila anayeikosoa serkali awe upinzani tu na Nyumbu??
Nani kakuambia nyumbu ni Chadema? Nyumbu ni nyumbu Tuuu!
 
Kumbe kelele zote hizo hamna ushahidi mnamtegemea Gwajima!!!Gwajima hana vyeti vya Makonda,amevalia njuga tu ili apate kujaza watu na sadaka imeongezeka sana wiki tatu hizi,huko hakuna sala,anatajwa Makonda kuanzia asubuhi hadi jioni kana kwamba Makonda ndio yesu.
Wajinga ndio waliwao
sasa si mumkamate kwa kesi ya uchochezi ili tukajue huko huko nani mkweli hta ESCROW mlikataaga hivi hivi so hatuwashangai huwa mnakataa kila kitu mwishoni mnaaibika.

kituko 2020 makonda akihamia upinzani utaskia WANACHUKUA MFOJI VYETI wakati kipindi tumeleta hoja mlikuwa mnamtetea
 
Back
Top Bottom