Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

[HASHTAG]#wewantbackalivebensaanane[/HASHTAG]
Hii movement iliishia wapi?? Na hii ya bashite nayo inaelekea huko huko.
 
hahahaha kumbe mnategemea Ngwajima ndio ana ushahidi...
 
Kumbe vyeti vya Makonda anavyo Gwajima...sasa kwanini mnamhitaji Makonda awaoneshe vyeti wakati anavyo Gwajima?

Nyie Bavicha hamjielewi kabisa....Makonda anawakosesha usingizi nabtena leo ndo kawapoteza kabisa
 
Kama Bashite anazushiwa uongo kwanini asimfungulie mashitaka Gwajima?
 
kabla ya kutuhumiwa kujihusisha na madawa mch.Gwajima hakua anaelewa chochote kuhusu fojari ya bwana bashite,ila alipotuhumiwa ndipo alipoanza kufanya uchunguzi wake kama mwenyewe alivyo uita "fact finding" ukisema alikua wapi tangu alipokua mkuu wa wilaya unaonesha ni jinsi gani umakini wako ulivyokua mdogo kumfuatilia bw Gwajima na hukumuelewa umekurupuka kumjibia bw.bashite
 
We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!

Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!

Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.

Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Chadema wanafurahisha sana
 
Hahahaaa hivi ni nani humu JF ambaye amekuwa akisema Gwajima avitoe hivyo vyeti kama kweli anavyo?

Nauliza tu mimi.....ahahahahaaaa
Wewe jamaa una akili sana leo wanaomba ambacho walikuwa wanakipinga jana,ndo akili zao JK anawafahamu sana his jamaa 70%wanafuata upepo tu
 
Sasa mnasema alipata division 0 halafu mnasema mshenga Gwajima ana cheti kakitoa wapi?
Ninyi vijana wa Chadema mbona mnakuwa kama vichwa vyenu havina ubongo!
ata akipata zero result slip huwa wanatoa labda anayo result slip
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
Aanze kwanza kumweka hadharani mke wa mtu aliyempora kwa Mumewe !!
 
Gwajima anakuambia Makonda alipata ZERO, halafu hapo papo anakuambia tena nina nakala ya cheti chake, na bado kuna misukule na manyumbx wanaamini, wewe Salary Slip mzima kweli wewe ?
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Siamini kama kweli Gwajima ana hivyo vyeti.

But with simple reasoning Gwajima asingeweza kuibuka na kashfa bila sababu. Hata wewe inawezekana unawafahamu watu wa design ya Daudi lakini huwezi kuwataja bila sababu ya msingi.

By the way Gwajima alishasema hata yeye hakujua kuwa wanatoka kijiji kimoja mpaka hii issue ilipokuja. Itawezekana pia Daudi hakujua hilo.
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
Mkuu kumbe kelele zote hizi mnamtegemea gwajima [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Gwajima ni kama kenge mwenye mkia tu tanzania hii ndio maana nyumbu ndio wanafuata mkumbo ila wenye akili wako busy na mambo yao ...

Kwani huyo kenge mweusi kuna mtu alimuagiza huo upuuzi anaoufanya ?
 
Ameongea sanaaa ili kujisafisha lakini waelewa wanamuona mpuuzi tuu afanye injili sio Mambo ya kwenye khanga...Upuuzi mtupu sasa hizo sadaka aanze kuzilia kodi
 
Back
Top Bottom