Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Kumbe vyeti vya Makonda anavyo Gwajima...sasa kwanini mnamhitaji Makonda awaoneshe vyeti wakati anavyo Gwajima?

Nyie Bavicha hamjielewi kabisa....Makonda anawakosesha usingizi nabtena leo ndo kawapoteza kabisa
Aliyekosa usingizi ni yule aliyefanya udanganyifu na kuamua Katanga tanga kutoka kanisa moja hadi lingine huku akitoa kilio cha huruma ili ghadhabu ya Mungu isimwangukie na mwisho kukimbilia nchi ya nje kama suluhu ya matatizo yake.
 
huyo ni mshenzi tu anajitafutia umaarufu kwa kutukana wakubwa, mara agombane na pengo mara makonda, ila simlaumu hayo nimatokeo ya kuugua muda mrefu.
Kwa hiyo unaunga mkono udanganyifu?Bashiteeeee
 
Mwambieni Bashite aweke Vyeti.
Tunasubiria kamati maalum iliyotumwa kwenda kijijini kolomije kuchunguza, kujua "ukweli" na kuleta ushuhuda wa vyeti na majina.

Kamati hii imeundwa na wachunguzi wabobezi katika masuala ya elimu hasa vyeti vya taaluma.
 
Kitendo cha kuscan vyeti na kitendo cha kuunda kamani, ni kipi rahisi kufanyika na kwa gharama nafuu?
 
Tunasubiria kamati maalum iliyotumwa kwenda kijijini kolomije kuchunguza, kujua "ukweli" na kuleta ushuhuda wa vyeti na majina.

Kamati hii imeundwa na wachunguzi wabobezi katika masuala ya elimu hasa vyeti vya taaluma.
Pia ikumbukwe kuwa:-

kamati imeundwa na yeye,
Na kufadhiliwa na watu wake,
Kwenda kijijini kwake,
Kupata ushuhuda kutoka kwa ndugu, jamaa, majirani, na marafiki zake,
Kujua ukweli wa elimu na majina yake,
 
huyo ni mshenzi tu anajitafutia umaarufu kwa kutukana wakubwa, mara agombane na pengo mara makonda, ila simlaumu hayo nimatokeo ya kuugua muda mrefu.
Gwajima hatafuti sifa za kijinga km bashite. Km anatafuta sifa za kijinga kwann wasimshitak kwa kupotosha umma.
"MKUKI KWA WANANCHI ILA KWA CCM NI MCHUNGU"
SAFI GWAJIMA.
 
Hahaaa yaani acha tu aisee.

Watu walinipinga na wengine wakaniita eti mi mkabila.

Sasa hata sijui suala la ukabila linatokea wapi hapo kati ya Gwajima, Makonda aka Bashite, na Magu.

Ingekuwa kuna ukabila Makonda angemtaja Gwajima na Gwajima angelianzisha dhidi ya Makonda?

Some of these people are so stupid.

Nilichokisema ndicho hicho watu sasa wanataka kukifanya.

We'll see....
Kuna kazi kubwa sana kubadili akili za hawa jamaa wakajielewa, wakati mwingine wanaweza sababisha hata unayepinga govt kwenye makosa ya kweli ujikute nawe unasapoti kila kitu hata kama ni cha kipuuzi, kwa sababu wao watapinga chochote ilimradi akili zao zimewatuma kinaenda tofauti na CDM
 
Hujielewi wewe. Umekaa kishambenga tu. Mtu mwenye chuki , roho mbaya kama wewe basi hufurahi tu akiona mtu mwingine akiharibikiwa, atakutafutia mabaya yoote, wala hataki kusikia hata mazuri yako hata moja ili mradi tu roho mbaya yake iwe na furaha.. Kumbuka huna unacho gain, Utakufa masikini bure kuanza kufuatilia ya watu binafsi na Life style yao.
Roho mbaya inamaliza uwezo wa kufukiri. Think positive always.
punguza munkari mkuu..... mie nimeshangaa eti kuhoji vyeti vyake ndio mnasema TUNAMUONEA WIVU!!!??? ndo nakuelewesha wwe kwamba je nna haja gani ya kumuonea wivu mtu aliyetumia DIRTY TRICKS na KUBEBWA NA MWANAUNE MWENZAKE (sitta) kufika hapo alipofika??? mara kumi nimuonee wivu nape ambaye alikiwa na division 4 form 4 ila ssa ana masters ya mzumbe!!! au simbchawene ambaye alikuwa konda wa mabasi leo hii waziri maana hao wote walianzia chini ila walviuja jasho kufika hapo walipofika ila eti kuhoji vyeti ndo kumuonea WIVU kilaza kma makonda...... mkuu tunatumia fake ID humu ila level ya elimu nlionayo na umri nlionao inapaswa makonda anionee wivu wa kitaaluma sio mmi nmuonee wivu...

Ati GPA 2.7 na Retake 7 masters nmuoneee wivu 😀😀?????
 
Huna lolote. Kafie huko. Acha watu wafanye kazi. Elimu yako imekushinda kukusaidia kwanza mwenyewe ndo unakuja na feki ID. Kama unaelimu ya kujitosheleza weka vyeti hapa.
 
Gwajima alishakuwa maarufu kabula ya Bashite. Kama kweli Bashite ana vyeti halisi sa avitoe na ndiyo Gwajima ataonekana mshenzi vinginevyo. Nyie ndiyo mnatetea ushenzi. Acheni maneno mwambieni bosi wenu atoe vyeti.
Kelele zenu zitakuwa na maana siku mkiweza kutuamimisha madai yenu, kwasahivi sie tuko busy na maisha yetu as kila mtu anawajibika kwake kwanza.
 
Huna lolote. Kafie huko. Acha watu wafanye kazi. Elimu yako imekushinda kukusaidia kwanza mwenyewe ndo unakuja na feki ID. Kama unaelimu ya kujitosheleza weka vyeti hapa.
Akiweza nahama nchi.
 
Huna lolote. Kafie huko. Acha watu wafanye kazi. Elimu yako imekushinda kukusaidia kwanza mwenyewe ndo unakuja na feki ID. Kama unaelimu ya kujitosheleza weka vyeti hapa.
hahhhahahahaa mkuu wwe ndo bashite mwenyewe ama mbona unatoka povu hivi yaani kuhoji ndio wivu hehheheheh....... Tunatumia FAKE ID ili kulinda privacy na sheria zenu za mitandao hizi. Kuhusu vyeti vyangu ukivihitaji njoo inbox nikuonyeshe maybe ndio utapata picha kwanni sina haja ya kumuonea wivu huyo mzee wa retake 7 yaani hadi communication skills ana supp 😀😀😀
 
Kelele zenu zitakuwa na maana siku mkiweza kutuamimisha madai yenu, kwasahivi sie tuko busy na maisha yetu as kila mtu anawajibika kwake kwanza.
Siku akitumbuliwa naomba msije hapa kumuita oil chafu na kapi maana ccm kwa unafi hamjambo akiwa kwenu na mabaya yake mnamuona msafi ila akitoka tu kma wema ndo mnamwaga mabaya yake yote 😀😀😀
 
Akiweza nahama nchi.
mkuu mimi najiamini kabisa ukitaka vyeti njoo inbox ntakutumia sina haja ya kumuonea wivu mtu aliyefanya degree ya kozi ya kike kwa miaka 7 huku masters akifeli module za kwanza kabisa yaani kabisa F ya guidance and counselling 😀😀😀
 
Sasa mnasema alipata division 0 halafu mnasema mshenga Gwajima ana cheti kakitoa wapi?
Ninyi vijana wa Chadema mbona mnakuwa kama vichwa vyenu havina ubongo!
Umejianika Mkuu. Wakati mwengine ni bora uwe kimya! Umeanza kufuatilia mambo ya Elimu lini?
 
Back
Top Bottom