Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kumuumbua Gwajima kama ni muongo kwa kutoa vyeti vyake halisi lakini haya maneno yenu, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anayaona hayana mashiko ni ya kipuuzi. Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kulimaliza hili na wala siyo nyie wapambe. 100% Bashite hana vyeti angekuwa navyo angeshavitoa.
Hakuna kutoa vyeti kwa gwajima
 
We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!

Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!

Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.

Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Lete vyeti hapa vya ushahidi hahahah
 
Gwajima alishakuwa maarufu kabula ya Bashite. Kama kweli Bashite ana vyeti halisi sa avitoe na ndiyo Gwajima ataonekana mshenzi vinginevyo. Nyie ndiyo mnatetea ushenzi. Acheni maneno mwambieni bosi wenu atoe vyeti.
Gwajima alete ushahidi wa tuhuma zake au aende mahakamani
 
Siku akishusha vyeti nishtue nimfuatilie YouTube Channel yake
 
Tumujuavyo huyo mtu wenu kwa tabia yake ya kupenda sifa angekuwa anavyo vyeti halisi. Gwajima angekiona cha moto, so kukaa kimya , kukimbilia kwenye nyumba za ibaada na afrika kusini kunathibitisha hana vyeti. Maji aliyavulia nguo mwenyewe ngoja aogeshwe.
Hata gwajima angekuwa navyo angeweka hazarani
 
Gwajima kama Tindu Lisu au Tindu Kisu
Mashine ukiweka miguu unakuwa Sembe
Atanyooka tu Bashite
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.

amechokozwa ndio mana amefanya hivo hata wewe kuna watu mtaani kwako wakikwambia maneno ya hovyo nawewe utaanza kutoa siri zao.unataja tuje tukuulize sikuzote ulikua wapi kutoa
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.
Hii filamu ndiyo kwanza iko robo subirini kwanza
 
Kumbe ushahidi anao Ngwajima tuu? sasa kelele zanini wakati ushahidi hamnao?
Unataka ushahidi gani tena? Mwambie bosi wako Bashite akuonyeshe chake mwenyewe alichoingilia chuo cha uvuvi Nyegezi? Akikuonyesha nitatembea uchi kutoka hapa Mtwara hadi Dar...
 
Huyo dawa yake ni kuwa na veti vote Std 7, Form 4 (hata kama ni matokeo ya 4m 4). Then kuwa na Raia wawili kila level na walimu waken kila level.

Primary, Seco, Fisheries, Mbegani, na MUCCOBS.

Bora yy atunze hizo hela anazo fuja za matamasha, mara kuandaa jarida la kumsafisha (wanahabari), na za hizo route za SA aje afanyie biashara.
 
Gwajima akivikalia hivyo vyeti atapigwa chenga ya mwili asiyoitegemea maana vikiletwa vvingine vyenye matokeo tofauti na alivyokuwa nayo yeye, Bashite atakuwa amemmaliza, Gwajima akichelewa sana hata akileta na watu waliosoma na Bashite ili kutoa ushuhuda atakuwa keshachelewa maana Umma huwa una tabia ya kuamini mamlaka, Ni bora avitoe sasa ili kupreempt, otherwise Bashite atamshangaza
 
Kumbe kelele zote hizo hamna ushahidi mnamtegemea Gwajima!!!Gwajima hana vyeti vya Makonda,amevalia njuga tu ili apate kujaza watu na sadaka imeongezeka sana wiki tatu hizi,huko hakuna sala,anatajwa Makonda kuanzia asubuhi hadi jioni kana kwamba Makonda ndio yesu.
Wajinga ndio waliwao
Kuionyesha serikali mhalifu ni ibada inayokubalika mbele za Mungu! Na huo ni wajibu wa mtumishi wa Mungu anayejitambua...Na Gwajima ataendelea kuwaonyesha "mwizi" hadi mtakapomkamata, mkiendelea kuzingua wananchi watajichukulia sheria mkononi-"watapiga kiberit mwizi"!
 
We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!

Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!

Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.

Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Hakuna cha vita wala ugomvi, wote wapuuzi tuu...
 
Hata asitupe vyeti ila atwambie Paul Christian(mwenye cheti anachotumia Makonda) kamalizia shule gani form 4.

Sio anatupiga sound kila siku kwamba ana cheti halafu hajui ni cha shule gani
 
Back
Top Bottom