Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Pia nilihoji kuwa kama kweli watu wana ushahidi wa kutosha kwa nini wasijitokeze watu wamshitaki mahakamani kwa manufaa ya umma.

Guess what? Nimesikia tayari watu washaanza kujipanga kufanya hivyo.

Ila nilivyopingwa humu na baadhi ya watu wakati nilipohoji utadhani nilikuwa naongea pumba tupu....lakini hao hao sasa wanaanza kufanya yale niliyoyahoji mimi.

Nyumbu bana....
Nyumbu ni shida sana hawaelewi hata wanataka nini yanajipeleka tu,nakumbuka uliandika wewe hujasoma ila unaomba watu wajitokeze wamshtaki,wakatokea nyumbu na vifungu vyao sheria
 
Nyumbu ni shida sana hawaelewi hata wanataka nini yanajipeleka tu,nakumbuka uliandika wewe hujasoma ila unaomba watu wajitokeze wamshtaki,wakatokea nyumbu na vifungu vyao sheria

Hahaaa yaani acha tu aisee.

Watu walinipinga na wengine wakaniita eti mi mkabila.

Sasa hata sijui suala la ukabila linatokea wapi hapo kati ya Gwajima, Makonda aka Bashite, na Magu.

Ingekuwa kuna ukabila Makonda angemtaja Gwajima na Gwajima angelianzisha dhidi ya Makonda?

Some of these people are so stupid.

Nilichokisema ndicho hicho watu sasa wanataka kukifanya.

We'll see....
 
uwezo wa kufkiri?? kivp kwamba namchukia makonda for wat??? kwani nlitaka kiti chake nikanyimwa??? huyo makonda nlikuwa namkubali zamani ila toka aanze kujifanya mungu mtu na kuchafua majina ya wengine nkamuona anatumika kisiasa sasa kwanni na yye akizushiwa scandal inakuwa nongwa ??? is he untouchable?? kila.za mkubwa huyo GPA ya 2.7 nmuonee wivu??? division 0 nmeuonee wivu??? kazi ya appointment letter nmuonee wivu?? masters kala dead semester nmuonee wivu dah u cant be serious 😀😀😀
Hujielewi wewe. Umekaa kishambenga tu. Mtu mwenye chuki , roho mbaya kama wewe basi hufurahi tu akiona mtu mwingine akiharibikiwa, atakutafutia mabaya yoote, wala hataki kusikia hata mazuri yako hata moja ili mradi tu roho mbaya yake iwe na furaha.. Kumbuka huna unacho gain, Utakufa masikini bure kuanza kufuatilia ya watu binafsi na Life style yao.
Roho mbaya inamaliza uwezo wa kufukiri. Think positive always.
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Mwambie bashite ampeleke mahakamani kwa kumchafulia jina auone moto
 
Akutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.

Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.

Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.

Mchungaji do the needful.

Enough is enough.

Subiri kwanza taarifa ya wale waandishi kumi waliotumwa na RC kule Koromije wa warudi!
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.

Unajitia uchizi tuu! Ni bora ukaelewa wakati huo huyo unaye jaribu kumtetea slikuwa snajua "kula na kipofu"
 
Nadhani haya mambo yafike mwisho. Wakusikia wamesikia. Kuna zaidi ya vyeti ktk uongozi.tusihukumu wapendwa tusije kuhukumiwa. Aliemuweka anajua sababu za huyu kua pale.
 
Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kumuumbua Gwajima kama ni muongo kwa kutoa vyeti vyake halisi lakini haya maneno yenu, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anayaona hayana mashiko ni ya kipuuzi. Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kulimaliza hili na wala siyo nyie wapambe. 100% Bashite hana vyeti angekuwa navyo angeshavitoa.
Pumba zingine bhana
 
Je ni nani wa kuwaumbua wale wenye PhD za mabua ya mahindi?
 
Kumbe kelele zote hizo hamna ushahidi mnamtegemea Gwajima!!!Gwajima hana vyeti vya Makonda,amevalia njuga tu ili apate kujaza watu na sadaka imeongezeka sana wiki tatu hizi,huko hakuna sala,anatajwa Makonda kuanzia asubuhi hadi jioni kana kwamba Makonda ndio yesu.
Wajinga ndio waliwao
Hapa vyeti tu.
 
Mbowe alitumia colgate na chumvi ili ngada isionekane kwenye mkojo
Mbowe mtoto wa jijini. Jiji hili nina wenyewe.

[HASHTAG]#hapavyetitu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#hakunakazibilavyeti[/HASHTAG]
 
unataka vyeti kwani wewe ni nesi? nenda Amana kuna wajawazito wako na vyeti, mijitu mingine mipumbavu kweli!
Vyeti = vyeti ya kuhitimu elimu ya msingi, sekondari, chuo au taasisi nyingine za kielimu.

[HASHTAG]#hakunakazibilavyeti[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom