una maana gani mkuu? Nani kanyimwa haki?We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!
Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!
Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.
Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Hahaaaaaa Cheti kimegeuka result slip sio Muda kitakuja Kuwa Kitu kingine.ata akipata zero result slip huwa wanatoa labda anayo result slip
Kama aliomuwashia pengo, kama alivyogeuza misikiti kuwa sunday schools, kama alivyowawashia moto wachawi na Mungu kwa kuwafufua waliowaua! Ama kweli wajinga waliwao askofu anayetegemea ulinzi wa mabaunsa wakati ana uwezo wa kufufua!Gwajima anajipanga maana atawasha moto mkubwa na mtu atapotea mazima
Weka hivyo halaliSasa mnasema alipata division 0 halafu mnasema mshenga Gwajima ana cheti kakitoa wapi?
Ninyi vijana wa Chadema mbona mnakuwa kama vichwa vyenu havina ubongo!
Acha maneno weka vyetiKama aliomuwashia pengo, kama alivyogeuza misikiti kuwa sunday schools, kama alivyowawashia moto wachawi na Mungu kwa kuwafufua waliowaua! Ama kweli wajinga waliwao askofu anayetegemea ulinzi wa mabaunsa wakati ana uwezo wa kufufua!
Cheti cha uendawazimu bado hajakipata, kipo mbioni kinatafutwa, ugonjwa wake wa utotoni ukimrudia tutapata cheti. Mtu keshawaambia yeye mgonjwa wala hamumuulizi aliugua nini, kazi kusema weka cheti, utapewa cheti cha mamako cha klinikiAcha maneno weka vyeti
U are the great thinker umeongea kilichopo ktk fikra zng vile vile lkn ktk lugha nyepesi na ya kueleweka zaidiAkutukanae hakuchagulii tusi sasa nakushangaa sijui unasibiri nini kutoa vyeti vya huyo unaemtuhumu maana kwa anayoyafanya ni wazi anakupuuza na si ajabu ipo siku atakubwatukia.
Cha kufanya kwa sasa ni wewe kuita waandishi wa habari kisha ukawakibidhi hivyo vyeti na usihangaike tena kusifiasifia wale walioamua kukaa kimya juu ya jambo hili.
Na kwasababu umeshataja hadharani majina ya waliosoma na Bashite, itakuwa vizuri pia kama kwenye hiyo press conference utaambatananao uliowataja ili nao wawaeleze waandishi wanachokijua kuhusu Bashite.
Mchungaji do the needful.
Enough is enough.
Bashite Albert ndio unaemuita mkubwa ww??mzee wa fa fa fa fa fahuyo ni mshenzi tu anajitafutia umaarufu kwa kutukana wakubwa, mara agombane na pengo mara makonda, ila simlaumu hayo nimatokeo ya kuugua muda mrefu.
Mkweli atuonyeshe vyeti tuweze kumwaminiUnafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Acha maneno weka vyetiCheti cha uendawazimu bado hajakipata, kipo mbioni kinatafutwa, ugonjwa wake wa utotoni ukimrudia tutapata cheti. Mtu keshawaambia yeye mgonjwa wala hamumuulizi aliugua nini, kazi kusema weka cheti, utapewa cheti cha mamako cha kliniki
Wewe jamaa una akili sana leo wanaomba ambacho walikuwa wanakipinga jana,ndo akili zao JK anawafahamu sana his jamaa 70%wanafuata upepo tu
Unajitekenya mwenyewe hlf unachekaHahahaaa hivi ni nani humu JF ambaye amekuwa akisema Gwajima avitoe hivyo vyeti kama kweli anavyo?
Nauliza tu mimi.....ahahahahaaaa
Unajitekenya mwenyewe hlf unacheka
Nzuri zaidi anacheti cha bashite alichopata zero.Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Yaani wee jamaa ni kiranja wa kilaza,huyo mumeo bashite atoe vyeti vyake ugumu uko wapi hapo?unatetea ujingaPia nilihoji kuwa kama kweli watu wana ushahidi wa kutosha kwa nini wasijitokeze watu wamshitaki mahakamani kwa manufaa ya umma.
Guess what? Nimesikia tayari watu washaanza kujipanga kufanya hivyo.
Ila nilivyopingwa humu na baadhi ya watu wakati nilipohoji utadhani nilikuwa naongea pumba tupu....lakini hao hao sasa wanaanza kufanya yale niliyoyahoji mimi.
Nyumbu bana....
No nataka nikusaidie kukutekenya ili ucheke tena vizuri,dume zima mbele ya midume wenzio unajikesha hovyo namna hio ktk issue za maana utachambia kamasiVipi kwani....nawe unataka nikutekenye ucheke?
Yaani wee jamaa ni kiranja wa kilaza,huyo mumeo bashite atoe vyeti vyake ugumu uko wapi hapo?unatetea ujinga
Yaani wee jamaa ni kiranja wa kilaza,huyo mumeo bashite atoe vyeti vyake ugumu uko wapi hapo?unatetea ujinga