Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

Gwajima unataka uchokozwe vipi ndio uelewe?

We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!

Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!

Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.

Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Cheti cha 0 kimepatikana wapi
 
kwahyo kwa kuwa wengi wanachukua majina bas ndio halali kwa bashite??? duuh kma gwajima muongo si mumkamate kesi ya uchochezi kma kina lisu au lema...... yaani nyie gwajima kudhalilishwa vile kuwa ni muuza madawa wakati ni mchungaji mliona ni sawa ila yye kuretaliate ndio kosa???? hvi watanzania tuna shida gani lakini????
Mwisho wako wa kuelewa umeishia hapo. Chuki na roho mbaya vinapunguza uwezo wa kufikiri angalia sana.
 
Hamjui kama mmetegwa,hatamagazeti makini hayaandiki habari hizi
Naomba tu siku ukweli ukijuliana usije humu ukaanza mgeuka makonda maana na nyie mtu akiwa CCM anakuwa malaika ila akitolewa anakua kapi na fisadi sijui oil chafu!!
 
Mwisho wako wa kuelewa umeishia hapo. Chuki na roho mbaya vinapunguza uwezo wa kufikiri angalia sana.
uwezo wa kufkiri?? kivp kwamba namchukia makonda for wat??? kwani nlitaka kiti chake nikanyimwa??? huyo makonda nlikuwa namkubali zamani ila toka aanze kujifanya mungu mtu na kuchafua majina ya wengine nkamuona anatumika kisiasa sasa kwanni na yye akizushiwa scandal inakuwa nongwa ??? is he untouchable?? kila.za mkubwa huyo GPA ya 2.7 nmuonee wivu??? division 0 nmeuonee wivu??? kazi ya appointment letter nmuonee wivu?? masters kala dead semester nmuonee wivu dah u cant be serious 😀😀😀
 
mlimchafua lowassa na wenzake kwa miaka 8,na wewe ukiwemo kwamba lowassa ni fisadi,leo ametajwa kaka yako mbowe unatoa povu
 
Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kumuumbua Gwajima kama ni muongo kwa kutoa vyeti vyake halisi lakini haya maneno yenu, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anayaona hayana mashiko ni ya kipuuzi. Mwenye vyeti ndiye anatakiwa kulimaliza hili na wala siyo nyie wapambe. 100% Bashite hana vyeti angekuwa navyo angeshavitoa.
Maweiwe anayetuhumu ndiye anayetakiwa kuthibitisha
 
We mjinga hujui hata vita inapiganajwe!

Hii ya BASHITE ni vita kati ya HAKI na UDHALIMU. Ndio maana utaratibu unafuatwa!

Ushahidi hata mimi ninao, BASHITE alipata sifuri kidato cha nne.

Hili la BASHITE mbona litawatokea puani?
Ndugu yangu kuwa makini nakauli unazotoa, unapidai hata wewe unaushahidi kuwa Makonda alipata Sifuri, hivi mtahiniwa anapopata sifuri, tena huwa anapata cheti? Mbona mnashabikia vitu msivyovijua? Hamuoni kuwa nyinyi mwenyewe mnadhihirisha msivyokuwa na Elimu? Kimsingi madai yote ya Gwajima hayana mashiko yeyote, Haiwezekani eti mtu afeli darasa La 7 mwaka 1996 halafu mwaka uliofuata achaguliwe kidato cha kwanza Pamba sec ya serikali bila kuwa na TSM9, hili ni jambo ambalo halijawahi kutokea hapa Tz tangu Uhuru. Pia kuthibitisha kuwa madai ya Gwajima ni ya uongo? Fikiria hii kauli, Gwajima anadai eti vyeti vya Makonda vinavyoonesha jinsi alivyopata sifuri yeye Gwajima anavyo, inawezekanaje Gwajima awe na vyeti Original vya mtu mwingine? He inawezekanaje Gwajima apewe vyeti vya mtu aliyefeli mtihani (academic certificates)? Hii haiingii akilini. Si amini hasa pale ninapomuona mtu mwenye timamu zake anapost humu kudai vyeti ambavyo havipo. Hakuna cheti cha MTU aliyepata division Zero. Gwajima anajaribu kuidanganya jamii kuwa yeye si muhusika wa madawa ya kulevya kwa kuibuka na issue ya vyeti vya Makonda. Na huenda baadhi ya watu wasioshughulisha akili zao kikamilifu, na ambao utawajua kwa post zao ambao hazizidi mistari 3 na akijitahidi mistari 5, hapo ndipo kajenga hoja Ukweli kweli , utawaona wanapost hivi; Vyeti tu sisi, Bashite atoe vyeti, athibitishe kwa kutoa vyeti n.k. Watu hawa yamkini hawana hata ABC ya sheria, kisheria ni hivi; Ukimtuhumu mtu , wewe uliyemtuhumu ndiye unatakiwa kuthibitisha tuhuma zako, na kazi ya mtuhumiwa ni kujibu tuhuma zake. Mfano kwenye hili jambo; alitakiwa Gwajima athibitishe kuwa vyeti vya Makonda ni hivi hapa, na kwamba ufaulu wake wa ziro ni huu hapa, nakwamba majina ya awali ya Daud Albert Bashite ni haya hapa kwenye Hati ya kuzaliwa, na athibitishe pia kwenye kiapo cha Mahakama alichotumia Makonda Kuapa. Pia amlete mtoto wa Sitta akili hadharani kumuazima cheti Makonda, hapo sasa ndipo ungekuja wakati wa Makonda kukanusha tuhuma hizi kwa kutoa vielelezo vyake kama vipo, au kukubaliana na tuhuma hizo. Sasa kutuhumu bila kuthibitisha kwangu Mimi kama Msomi naona kuwa ni Uzushi wa kitoto. Na inanipelekea niwaone wale wote wanaong'ang'ania suala la vyeti kuwa ni watu muono hafifu(myopic), watu ambao wanapenda ushabiki badala ya kushughulikia na facts.
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Naona mnapeana likes na wajinga wenzako
 
Kwamba na wewe unaamini kwamba Gwajima ana vyeti vya Makonda, tena sio vyeti tu ni vyeti vyenye division zero?' kwamba NECTA siku hizi wanagawa tu vyeti kama Karanga? halafu kama vyeti anavyo Gwajima kwa nini kila siku tunamuandama Makonda atoe vyeti? na huku tukijua vyeti anavyo Gwajima?

Kitu kingine cha kushangaza ni tunamtaka Makonda aonyeshe vyeti Kwenye Mitandao ya kijamii ama kanisani kwa Gwajima? maana kwa mtu serious angechukua hatua za kiofisi kwenda kwa mamlaka yake ya uteuzi,au hata tume ya maadaili au hata mahakamani ili kuiomba mahakama ijiridhishe na hii kadhia, ni kichaa pekee atayebeba vyeti na kwenda kuvitundika kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kumfurahisha Mange Kimambi na wafasi wake.

kuna watu wanajiuliza labda kwa nini Makonda hajitokezi kujibu hizi tuhuma? Ni rahisi tu kwamba kiongozi wa haya Mapambano ni Mtu ambaye akili yake inaonekana kama imefyatuka (Mange Kimambi) yaani ukimjibu leo kwa tuhuma hizi kesho tena ataiubuka na nyingine na wewe kila siku utakuwa na kazi moja tu ya kujibu shutuma za Mange Kimambi ambazo wakati mwingine hazina kichwa wala miguu.
 
Ndugu yangu kuwa makini nakauli unazotoa, unapidai hata wewe unaushahidi kuwa Makonda alipata Sifuri, hivi mtahiniwa anapopata sifuri, tena huwa anapata cheti?
Kuwa na sifuri haimaanishi matokeo yako hayatoki, ambacho hupati ni ile certificate tu!

Ushahidi wa matokeo ya BASHITE upo! Acha kujilisha upepo!
 
Unafikiri Gwajima anachochote cha maana? Hana cheti wala kitu chochote kinachofanana na Cheti, haiwezekani Gwajima adai ufeki wa vyeti na kutofaulu kwa Makonda na madai kuwa alitumia vyeti vya watu wengine nakutaja jina halisi la Makonda, iweje leo ataje taarifa za Makonda baada tu ya yeye Gwajima kutajwa kuhusika na Madawa ya kulevya? Makonda alianza kuwa Mkuu wa Wawilaya, na baadaye Rc, na alipoanza kushughulika na mihadarati, na kumtaja Gwajima, ghafla ikaja hoja ya vyeti, pia ikumbukwe kuwa kabla ya tuhuma za mihadarati kwa Gwajima, Gwajima mwenyewe aliwahi kumkaribisha Makonda kwenye kanisa lake, sasa aliwezaje kumkaribisha Makonda mwenye vyeti feki,tena akatumia mimbari ambapo ni mahali patakatifu. Gwajima ni Muongo mkubwa.
Kwa hiyo unatuimanisha kama Gwajima ni muongo basi hakuna mtu anaitwa Albert Daudi Bashite aliyepata FFFFFFFF Pamba Secondary na ambaye amepotea kimazingira na kuzuka mzimu (ghost) aitwaye Paul Christian Makonda dude ambalo hakuna rekodi ya kuzaliwa kwake hadi Bashite alipozungusha ZERO mitihani yote.
 
Kaazi kweli
Yaani CCM wanavyocheza na akili za UKAWA.
Yaaani wao wanafanyakazi kwenda mbele,then wanaachia watu wanyumbuke na hoja za ajabu
Ikifika miaka Mitano,wakirudi majimboni wanawaambia tunadili na vyeti na kesi tuuu.

Watu lazima akili ziamke,hasa wa miji mikubwa ndio majanga.
Ilikuja nyimbo ya Darasa basi ikawa hata kiongozi akitamka mistari basi inakuwa hoja kuubwa
Wema Sepetu kuhamia CDM nayo imekuwa isshuuu ila imepoa na inapotea kimtindo,haina kiki tena.
Sasa imakuwa isshue a Makonda,na ukiangalia Clips za Gwajima,huwa nasema hivi hata kwenye nyumba ya Ibada waumini wakitoka pale sijui kama wanatoka na la maana.

Atoe vyeti au Aende Mahakamani kumshtaki kwamba ana vyeti feki,ni ishi simple tu.Then kule ndio kutajulikana.
Lakini huwezi kuamka tu na kuaza kunadi kwamba unavyo vyeti feki,huku ukiwa umekumbatia makabrasha ya ajabu tu.
Na ndio maana Makonda anawaangalia tu,maana anaona na kujua kwamba Sifa kubwa ya Unga ni kupoteza akili na uelewa

UKAWA OYEEEEE
 
mlimchafua lowassa na wenzake kwa miaka 8,na wewe ukiwemo kwamba lowassa ni fisadi,leo ametajwa kaka yako mbowe unatoa povu
Sasa Logic yako mbona ipo low mkuu embu pima mbowe ni mpinzani hayuko kwenye system ya serikali useme ana uwezo wa kupata taarifa zote nyeti za nchi hivyo anaweza act iwa taarifa ndogo tu anazopata basi unlike makonda yupo kwenye system ambayo anaweza akaccess taarifa za nyeti za nchi hii ssa mbowe hana mamlaka ya kuorder uchunguzi wa richmond ila makonda alikuwa na uwezo wa kuorder uchunguzi dhidi ya mbowe maana jeshi liko chini yake kwa mwavuli wa kamati ya ulinzi na usalama ssa mlishindwaje kujua kma anahusika au hausiki kabla ya hamjamtaja hadharani kuwa ni muuza madawa eti???

tofautisha AUTHORITY ya mbowe na makonda ndo uje na conclusive factor eti unalinganisha na chadema kumchafua lowasa na makonda wakati huyu anajeshi ana wapelelezi huku kina mbowe wanaact kwa taarifa chache wanazopata hasa za kibunge tu!!!!!
 
Gwajima sijawahi kumwamini, aweke mezani vyeti original vya Basite na Paul ili tujilizishe na ushaidi wake,,la sivyo ni kelele za chura acha ng.ombe aendelee kunywa maji. Maana kama issue ni majina watu wengi sana wmerudia shule na kuchukua majina ya wengine.
Tuko pamoja mkubwa.
 
Back
Top Bottom