Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 588
- 1,698
Mlitegemea angesema nini zaidi ya hilo!Mwigulu akanusha
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amekanusha na kusema Taifa lina mipango ya muda mrefu na tangu uhuru limeongozwa na viongozi wenye maono na ndio maana kuna dira ya 2025 kutoka kwa Mkapa.
Mawazo ya Gwajima ni potofu na ya unafiki. Kiuchumi sio lazima nchi iwe na chuma ndio ijenge reli wala hata kama ina chuma sio lazima kwanza kuchimba chuma ndipo nchi ijenge reli. Kila ntu sasa anajifanya mchumi!.Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo hayupo kinyume nayo lakini ameshangaa kuanza na reli ambayo 'component' kubwa ni chuma kwa kukiagiza nje ya nchi badala ya kuchimba chuma kisha kujenga reli.
Gwajima amesema kinachosumbua ni kukosa maono ya Taifa, mipango ya Taifa na dira.
Gwajima amesema Taifa linahitaji maono ya pamoja na hakuna nchi duniani iliyoendelea kwa miaka mitano au kumi.
Kingu-Taarifa
Kingu akichangia kupitia taarifa, amesema hadi tume ya kutengeneza mipango ya muda mrefu imefutwa. Amesema Taifa halina tume ya mipango kutengeza mipango ya kuanzia miaka 50.
Mwigulu akanusha
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amekanusha na kusema Taifa lina mipango ya muda mrefu na tangu uhuru limeongozwa na viongozi wenye maono na ndio maana kuna dira ya 2025 kutoka kwa Mkapa.
Mwigulu amesema nchi imeongozwa kwa maono ndio maana ipo ilipo. Mwigulu amemaliza kwa kusema Rais ameshaweka utekelezaji wa miradi mikubwa, yote inaenda kutekelezwa ya Liganga, LNG.
Gwajima yupo sahihi. Ni kazi sana kwa nchi kuendelea bila chuma. Ukiwa na chuma utajenga reli kwa bei rahisi, utajenga nyingi, utajenga mabehewa. Na itakuwa rahisi kwako kurekebisha. Hao wakina Mwigulu wamekalia porojo za LNG utafikiri ni mtambo wetu!!Mawazo ya Gwajima ni potofu na ya unafiki. Kiuchumi sio lazima nchi iwe na chuma ndio ijenge reli wala hata kama ina chuma sio lazima kwanza kuchimba chuma ndipo nchi ijenge reli. Kila ntu sasa anajifanya mchumi!.
Ziko nchi nyingi tu zimejenga reli na hazina hicho chuma.
Unapotaka kujenga reli unatangaza tenda baada ya kuwa umefanya tathmini reli itajengwa vipi na costs ni kiasi gani. Mkandarasi akishapatikana ndiye anajua vyuma atanunua wapi na kwa bei gani; sisi tunachotaka tukabidhiwe reli iliyojengwa kwa viwango na kwa wakati.
Hicho chuma ikitokea kimechimbwa siku moja kitauzwa kwa wateja wanaohitaji wa nje na ndani ya nchi na kitaingiza mapato ya fexha za kigeni na pia shilingi.
Hakuna nchi inazalisha kila kitu yenyewe na sio lazima kiuchumi tuzalishe kila kitu, vingine tutaagiza tupende tusipende; ndio maana kuna kitu kinaitwa comparative advantage katika biashara ya kimataifa sio suala la kuzalisha tu
Nae Mwigulu ndio msemaji wa Serikali Bungeni? Sio kila kitu kukanisha..Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo hayupo kinyume nayo lakini ameshangaa kuanza na reli ambayo 'component' kubwa ni chuma kwa kukiagiza nje ya nchi badala ya kuchimba chuma kisha kujenga reli.
Gwajima amesema kinachosumbua ni kukosa maono ya Taifa, mipango ya Taifa na dira.
Gwajima amesema Taifa linahitaji maono ya pamoja na hakuna nchi duniani iliyoendelea kwa miaka mitano au kumi.
Kingu-Taarifa
Kingu akichangia kupitia taarifa, amesema hadi tume ya kutengeneza mipango ya muda mrefu imefutwa. Amesema Taifa halina tume ya mipango kutengeza mipango ya kuanzia miaka 50.
Mwigulu akanusha
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amekanusha na kusema Taifa lina mipango ya muda mrefu na tangu uhuru limeongozwa na viongozi wenye maono na ndio maana kuna dira ya 2025 kutoka kwa Mkapa.
Mwigulu amesema nchi imeongozwa kwa maono ndio maana ipo ilipo. Mwigulu amemaliza kwa kusema Rais ameshaweka utekelezaji wa miradi mikubwa, yote inaenda kutekelezwa ya Liganga, LNG.
Wewe ni mshamba ndio maana hujaona logic ya Gwajima. Ni sawa na kutoa tenda ya kusambaza vyakula mashuleni ila kampuni hiyo ikawa inanunua mahindi Kenya wakati hapa nchini yapo tungekuwa na mashine tungesaga.Mawazo ya Gwajima ni potofu na ya unafiki. Kiuchumi sio lazima nchi iwe na chuma ndio ijenge reli wala hata kama ina chuma sio lazima kwanza kuchimba chuma ndipo nchi ijenge reli. Kila ntu sasa anajifanya mchumi!.
Ziko nchi nyingi tu zimejenga reli na hazina hicho chuma.
Unapotaka kujenga reli unatangaza tenda baada ya kuwa umefanya tathmini reli itajengwa vipi na costs ni kiasi gani. Mkandarasi akishapatikana ndiye anajua vyuma atanunua wapi na kwa bei gani; sisi tunachotaka tukabidhiwe reli iliyojengwa kwa viwango na kwa wakati.
Hicho chuma ikitokea kimechimbwa siku moja kitauzwa kwa wateja wanaohitaji wa nje na ndani ya nchi na kitaingiza mapato ya fexha za kigeni na pia shilingi.
Hakuna nchi inazalisha kila kitu yenyewe na sio lazima kiuchumi tuzalishe kila kitu, vingine tutaagiza tupende tusipende; ndio maana kuna kitu kinaitwa comparative advantage katika biashara ya kimataifa sio suala la kuzalisha tu
Mawazo ya Gwajima ni potofu na ya unafiki. Kiuchumi sio lazima nchi iwe na chuma ndio ijenge reli wala hata kama ina chuma sio lazima kwanza kuchimba chuma ndipo nchi ijenge reli. Kila ntu sasa anajifanya mchumi!.
Ziko nchi nyingi tu zimejenga reli na hazina hicho chuma.
Unapotaka kujenga reli unatangaza tenda baada ya kuwa umefanya tathmini reli itajengwa vipi na costs ni kiasi gani. Mkandarasi akishapatikana ndiye anajua vyuma atanunua wapi na kwa bei gani; sisi tunachotaka tukabidhiwe reli iliyojengwa kwa viwango na kwa wakati.
Hicho chuma ikitokea kimechimbwa siku moja kitauzwa kwa wateja wanaohitaji wa nje na ndani ya nchi na kitaingiza mapato ya fexha za kigeni na pia shilingi.
Hakuna nchi inazalisha kila kitu yenyewe na sio lazima kiuchumi tuzalishe kila kitu, vingine tutaagiza tupende tusipende; ndio maana kuna kitu kinaitwa comparative advantage katika biashara ya kimataifa sio suala la kuzalisha tu
Wewe ni mshamba ndio maana hujaona logic ya Gwajima. Ni sawa na kutoa tenda ya kusambaza vyakula mashuleni ila kampuni hiyo ikawa inanunua mahindi Kenya wakati hapa nchini yapo tungekuwa na mashine tungesaga.
Hivyo vyuma kama sikosei wanachukua zaidi Urusi kuja kujengea reli. Kuna ugumu gani kwenye teknolojia ya steel mpaka tuagize nje kwa kutumia billions of money? Tungekuwa na uzalishaji wa kujitosheleza tungetumia chuma chetu kutoka Mchuchuma & Liganga na kuzalisha ajira, kupunguza importation, kuongeza capacity ya uzalishaji na hatimaye kuuza nje, na huo mradi wa chuma ungerahisisha ujenzi wa viwanda.
Yani vyuma tumevilalia ardhini alafu unakuja na hoja za kishamba eti "comparative advantage". Hakuna nchi inaweza endelea bila kuwa na chuma, ambao hawana iron ore kama South Korea na Japan wanazalisha ila sisi tumelala na wala sio teknolojia ya nishati wala kompyuta kusema ni ngumu
Hivi ile treni lake lishawasili
Ova
Nikuulize swali rahisi. Wewe ni mchumi?Gwajima yupo sahihi. Ni kazi sana kwa nchi kuendelea bila chuma. Ukiwa na chuma utajenga reli kwa bei rahisi, utajenga nyingi, utajenga mabehewa. Na itakuwa rahisi kwako kurekebisha. Hao wakina Mwigulu wamekalia porojo za LNG utafikiri ni mtambo wetu!!
Naomba kutojibu.Nikuulize swali rahisi. Wewe ni mchumi?