zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,153
- 28,889
Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio tu huko amelekea Kanda ya ziwa almost yote, Kanda ya kati, nyanda za juu kusini na Sasa yupo Kusini. Mikutano hii inafanyika ikiwa na mrengo wa kujibrand kama mwanasiasa wa kitaifa na alternative ya 2025 hasa kwenye Urais.
Nasema hivi sababu kwa mara ya kwanza Gwajima amezunguka almost 60% ya wilaya ya nchi hii na kote huko anafanya mikutano ya injili huku akimpigia kampeni Samia na CCM!! ila mwenye akili timamu anajua ni kujibrand Ili siku akitangaza Nia basi awe na capital ya wapiga kura wengi.
Labda nimshauri tu Gwajima kama anataka kumchallenge Samia aanzishe chama au ahamie hata CHAUMMA ila huko CCM fomu itaprintiwa Moja tu kama 2010 na 2020 so asipoteze muda na hayo maigizo ni either ahubiri injili ya kweli au ajitokeze wazi afanye mikutano ya kisiasa Kila Jimbo ila kujificha nyuma ya kivuli Cha injili haitomsaidia kitu.
Jumapili njema.