mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Du kaanza kusali ijumaa? yaani anaona Jumapili mbali kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
Si ndiyo maana nimesema hakuna binadamu mkamilifu, lakini ya kuiba mke wa mtu si mwake humu sasa hivi tuna issue ya Daudi Bashite.Hata yeye aliiba mke wa mtu na mwenye mke aka-blow whistle hatukumpa umakini huu tunaompa yeye kwenye vyeti vya bwana Bashite, anyway mnyonge ni mnyonge tu. Ila bwana Bashite ni kweli kafoji vyeti kabla sijasahau na hana la kujitetea.
Aliita wana wa wenzie wenye vyeti halali na waliofaulu VILLAZER watu wakamuonesha killerzer kuntu ndani mwake na kana kwamba haitoshi wameonesha kilazer kingine kuntu alichokiteua, atasema nini.Baba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Mnahoji kizamani kwanini msitafute ushahidi wa shule alizosomea na hatimaye kufungua kesi mahakamani ili awajibishwe? Badala yake mnategemea makonda atoe vyeti hadharani! Hivi kama ni kweli ameforge inawezekana akajichoma kisu mwenyewe kwa kuonyesha hadharani? Je akiendelea kukataa kutoa vyeti mnategemea kupiga kelele mtandaoni mpk ln? Kumleta mzee anayemfahamu makonda haitasaidia kumuwajibisha makonda bali mzee huyo angeandaliwa kuwa shahidi mahakamani chini ya kiapo. Upinzani wa tanzania hauna nguvu umebakia kama mbwa koko anayetegemea kubweka bila kung'ata. Upinzani ni taasisi inayotegemewa hata na wafuasi wa chama tawala kwa kusaidia kuibua madudu ya chama tawala kwa manufaa ya nchi kwa ujumla. Upinzani umesaidia kuibua kwa ushahidi kashfa za epa na escrow mpk serikali ikachukua hatua baada ya ushahidi kuwekwa mezani. Sasa hili la makonda linawashindaje? Au upinzani wenye tija ameondoka nao Dr Slaa?hawa jamaa wana calculation za kijinga sana.
sidhani kumkamata na kumweka ndani gwajima,italeta hofu kwa wanao hoji uhalali wa elimu ya ndg. daudi bashite aka paul makonda,bali itawapa kiburi zaidi cha kuendelea kukazia hoja zao.
Mnafuatuliaje kwa kutuma mtandaoniTena ndio wanatufanya tuzidi kufuatilia swala hili, tunae tu Daudi Bashite hata akiombewa na sisi tunaomba dua zetu.
sasa mbona mnahangaika na gwajima?Mnahoji kizamani kwanini msitafute ushahidi wa shule alizosomea na hatimaye kufungua kesi mahakamani ili awajibishwe? Badala yake mnategemea makonda atoe vyeti hadharani! Hivi kama ni kweli ameforge inawezekana akajichoma kisu mwenyewe kwa kuonyesha hadharani? Je akiendelea kukataa kutoa vyeti mnategemea kupiga kelele mtandaoni mpk ln? Kumleta mzee anayemfahamu makonda haitasaidia kumuwajibisha makonda bali mzee huyo angeandaliwa kuwa shahidi mahakamani chini ya kiapo. Upinzani wa tanzania hauna nguvu umebakia kama mbwa koko anayetegemea kubweka bila kung'ata. Upinzani ni taasisi inayotegemewa hata na wafuasi wa chama tawala kwa kusaidia kuibua madudu ya chama tawala kwa manufaa ya nchi kwa ujumla. Upinzani umesaidia kuibua kwa ushahidi kashfa za epa na escrow mpk serikali ikachukua hatua baada ya ushahidi kuwekwa mezani. Sasa hili la makonda linawashindaje? Au upinzani wenye tija ameondoka nao Dr Slaa?
Mpaka mtu ana teuliwa kuwa RC ni taratibu zipi za kiutawala hufuatwa?
Hivi kuna mtumishi wa Mungu wa dhehebu la Kikiristo aseye juu kuwa ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Yesu mwenyewe alimtuma mwanafunzi wake amvue samaki wakatoa fedha ya ushuru kinywani mwa samaki. Kwa nini Bwana Yesu hakusema dunia na vyote viijazavyo akiwemo na kaisari ni mali yake. Na akatae kujidemote kwa kaisari?
Lakini je ukweli kuhusu suala la vyeti unahitaji kusimamiwa na yeyote? Ukweli kama ilivyo nature unajisimamia wenyewe na hamna wa kuuzuia.
Na washawasha!
Inatia mashaka kwa nadharia lkn ushahidi hakunaBaba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa
Kwahiyo mnategemea na makonda nae aje kujitetea? Je kama kweli amefoji cheti bado atakuja? Kwanini msichukue hatua za kisheria zitakazomlazimisha kutoa vyeti vyake?Ni hivyo mkuu, angalau hata wakina Mwigulu walikuja kudefend rumours that were said about them, who is he to tell us even with division 0 he could have been RC.
Mkulu hili swala ni kama hajalisikia na wakati anapita humu.Bashite kaangukia pua tena,kitendo cha kumweka ndani Gwajima hivyo hadi jumatatu kaamua au kashauriwa vibaya.hii vita Gwajima(tuhuma madawa)VS Bashite(vyeti hewa sio tuhuma)sasa itashika kasi ya ajabu ngoja Gwajima atoke kelele sitamtoa nyoka pangoni hadi mkulu ambae hadi sasa haoni shida naamini wakati huo ataona bora aingilie kati maana Gwajima na mitandao yote ni Bashite Bashite Bashite..........lete vyeti.nawaza tu.
Tena mi nahisi huyu bashite ndo kamchokonoa na mungu kabisaaa.kwa hiyo yeye atakua "" mkirislam""too diuble standard in worshipping God.mi naona akubali yaisheMwambieni huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, Adhana uwe msikitini na kengele zikilia uite Bwana Yesu.
kiongozi wa dini hawezi akawa vile, kwan kiongozi kama yeye hawezi kufanya kwa lile alilotuhumiwa? si kila alitajae jina langu......Mungu ametahadharisha kabsa but people are still blind, know that the end is not near is already here. Dini gani inafundisha kulipa kisasi????Mkuu umeona wapi kiongozi wa madhehebu ya dini anawekwa ndani kwa kosa la utumiaji wa madawa ya kulevya na yakosekane nyumbani kwake na pia mwilini mwake.