Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Sure kabisa...nimeshangaa kuona asubuhi nakutana na txt inasema sijui neno wasafi inamaana ya kimasony.....ninecheka sanaaaa ..yule mzee anafanya buashara tuu...hana injili yoyote ile...mtu kuwa au kutokuwepo masony hautuhusu watu wameenda kanisan kutafuta injili yeye anageuza kuwa sehemu ya ubuyu.

mjomba_tz
Alafu bado kuna misukule yake inamtetea
 
Yule nae mnafiki tu ,mondy hata kama yuko masony yanamhusu????kashindwa kuchunga kondoo wake kila ibada za Siku hizi ni umbea tu, na yeye atusaidie kapata wapi utajiri alionao na ss tutafte,yaani siku hizi watu hawaendi kusali Bali kusikiliza unafiki

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Yaani wewe unataka utajiri kama wa Gwajima!!naona uko karibu kuolewa sasa!!!
 
Kwa hyo gwajima ameolewa ndo kapata huo utajiri ,unajua kabla hujacomment soma kwanza kilichoandikwa kwa umakini ili ujue nn kinamanishwa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Kama na wewe unautaka utajiri kama wa Gwajima waweza kuolewa maana mna uroho wa utajiri kitu kitachopelekea muolewe!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom