Gwajima amcharukia Diamond

QuickMemo%2B_2017-04-08-15-49-05.png

Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
 
View attachment 492823

Mimi nasubiri nione "mzinzi" na "mwasherati" akiigeuza ALMASI kuwa maji. Nasubiri kwa hamu kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom